ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Wadau mliomalizia shule ya sekondari Kigoma tukutane hapa,hasa kwa wale mliosoma hapo kuanzia 1994 hadi 1999.Mnamkumbuka mtaalamu wa kemia Mama Mashaka?Pia mkuu wa shule wakati ule Martin Mkombo?Hao walimu wako wapi jamani kwa anayejua?Pia Mwalimu ITIKA,mtaalamu wa physics naye yu wapi ndugu?