Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,269
- 70,657
Kuna hawa wanaJF walikua wana vituko sana, yaani kipindi cha nyuma kulizuka katabia ukitundika tu nyuzi utaona mtu anakuambia weka picha, hata saa zingine huo uzi hauhitaji picha utaombwa picha.
Nilikua nikicheka sana, maana wengine waligadhabika wakiona wameombwa picha, wengine nao wakaamua wawe wanaweka tu picha ili mradi kumridhisha, tangopori nadhani.
Yaani yeye alikua akitaka picha tu, wengine walimuambia we ukitaka picha nenda instagram picha kule zimejaa utaangalia mpaka utachoka hahaha, kulikua na vituko sana enzi hizo tunashukuru hako ka kero kalipotea nadhani
Tusichukulie kila kitu serious bana maisha mafupi haya.