JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi. Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
15 Reactions
138 Replies
3K Views
Kwema! Hizi ni baadhi ya nyuzi za miaka iliyopita zenye kuhabarisha, kuburudisha, na kufundisha.
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
4 Reactions
6 Replies
669 Views
Assalam alyeikum mabibi na mabwana..? Bila kuwachosa njoga niwape kisa hichi kilichonikuta, waswahili wanasema ujana maji ya moto sasa mimi nilikutana na moto wenyewe!. Ilikuwa ni usiku tulivu...
18 Reactions
39 Replies
2K Views
Waifu kasafiri kikazi. Katuachia (mimi na dada wa kazi) upweke kama wote. Wengine mnawezaje kuishi katika hali kama hii?
7 Reactions
43 Replies
1K Views
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Mkoa wa Shinyanga wajibu mapigo
9 Reactions
14 Replies
803 Views
Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza. Hamjakaa sawa haha...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo...
12 Reactions
158 Replies
4K Views
Lafudhi gani huwa unaona nzuri? Zipi unaona mbaya? Zipi zinakuchekesha? Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe. Wafipa huwa naona lafudhi yao poa...
3 Reactions
164 Replies
25K Views
Za alasiri wana jf, Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu...
12 Reactions
193 Replies
6K Views
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu. Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini. Sasa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
sijui nitimize tamaa ya mwili?dah ila kimoyomoyo kuna roho inaniambia nisitende dhambi. sijui nichague uamuzi upi
2 Reactions
213 Replies
16K Views
Wengi watashindwa kupata jibu kwenye hii picha !!! Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? πŸ˜€ Wanapopeleka Mie sijui !!!! Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi...
3 Reactions
11 Replies
713 Views
Huu Ndio Ulimwengu Tunaouishi 🌍 β€’ Mwanaume anapokuwa na gari zuri, huvutia wanawake wengi kwake. Mwanamke anapokuwa na gari zuri, huwafanya wanaume wamkwepe. Huu ndio ulimwengu tunaouishi. 🌍 β€’...
12 Reactions
14 Replies
901 Views
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Lafudhi ya wasambaa inaniudhi sana Yani sijui wanaongelea koromeoni sisi wapare tunawaita wasambaa vashamba kwasababu nyingi sana.
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wakuu wapi naweza para t shirt zenye picha ya huyu mwamba mpambanaji wa kweli ikiwa mbele na nyuma nitanunua Kwa gharama yeyote Ile ziwe kubwa . Wakuu naombeni msaada
2 Reactions
10 Replies
484 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…