Makabila yenye lafudhi nzuri, mbaya na zinazochekesha?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?

Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.

Wafipa huwa naona lafudhi yao poa.

Wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
 
lafudhi gani huwa unaona nzuri?
zipi unaona mbaya?
zipi zinakuchekesha?

mi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
Hahahaa...wee utakuwa mfipa ww sasa ngoja waje wenye makabila yao...teh teh teh katirumi mkombe
 
lafudhi gani huwa unaona nzuri?
zipi unaona mbaya?
zipi zinakuchekesha?

mi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
wangoni na wamasai hunichekesha kwa leafudhi na maneno yao.
Taja lafudhi ya kwenu tuijadili kwanza
 
Back
Top Bottom