JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeshangaa kuona mwezi huu sijakatwa 15% kwa ajili ya bodi ya mkopo. Ndo nimemaliza deni? Wamesahau? Nimesamehewa? Au ndo wamerudisha 8% kwa maana mwezi uliopita walikata pesa ya miezi miwili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaamini leo ndo mwisho wa kuandika chochote kuhusiana na Bashite (Makonda) iwe kwa uzuri au kwa ubaya, Hii ni njia ya kumuumiza au ndo tumemsaidia?
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa yaliyotokea leo, nadhani kesho magazeti yatanoga sana. Mimi naanza kwa kutabiri hivi..."RC ATOROKEA MLANGO WA NYUMA, AKIMBIA TUME YA NAPE"
3 Reactions
28 Replies
3K Views
kwa heshima na taadhima NapendA kumu'wish' my dear, my love, my sweet my lotion, my kapeti,my .... HAPPY BIRTHDAY TO YOU[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] I LOVE YOU SO MUCH oooo sory...
10 Reactions
683 Replies
24K Views
Ila wabongo jaman basi tu ngoja tunyooke kwanza Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu Mara mtu akadondoka inbobo, oh Aunty...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
*Je, WAJUA?* *Kicheche ndiye mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake lakini cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Happy Monday Guys! hapa leo nawaletea kitu cha kuchangamsha bongo; swali linasema: KUNA MTOTO ALIKUWA ANALIA JUU YA KABURI, ALIPOULIZWA UNALIA NINI AKAJIBU: "KAKA WA MKE WA MAITI ni MJOMBA...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Some dudes need to relax ATC: "Cessna G-ABCD What are your intentions? " Cessna: "To get my Commercial Pilots Licence and Instrument Rating. ATC: "I meant in the next five minutes not years."...
1 Reactions
9 Replies
881 Views
Ndugu zangu kuna hili neno moja hivi ni dogo lakin linamaana sana kama ukilitamka kwa hisia wengine wanakufa kwasababu ya hili neno na wengine wanalia[emoji22] [emoji22] [emoji22] sababu tu ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ebu nisaidie jamani zamani mabest na mademu zangu walikuwa wakiniomba elfu moja wanasema naomba buku lakini siku hizi wakiniomba wanasema naomba elfu moja mpaka najiuliza kwann au ndo msisitizo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear women, Ni siku nyingine na mwaka mwingine tena, leo imekuwa tena! Siku adhimu kabisa ya kukumbuka fadhila zenu mnazotutendea juu ya huu uso wa Dunia, kuadhimisha kila hatua mnayopiga...
15 Reactions
81 Replies
6K Views
Kwa Members active wa JF wote. Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye. Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Ebwana wanaJF mzuka! Acheni Sagodi aitwe Sagodi! Mola tupe uvumilivu tu waja wako. Dah hii ni hatareee!! Cc Benny mgt software Borat69 Ng'wanapagitokyo40 Zamaulid UncleBen(Che) mrangi...
3 Reactions
71 Replies
28K Views
Helou wanajamvi kumekua na shinikizo kubwa la kutaka mh makonda ajihudhuru na ana mwaka mmoja tu tangu awe RC Sasa me najiuliza kuna watu wamefanya wameongoza mda mrefu na wanatenda ndivyo sivyo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
3 Reactions
11 Replies
4K Views
*nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?*...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
[13/03, 18:41] Avit: Nipo kwenye daladala afu pembeni yngu limekaa jamaa...... bila ta aibu linasoma chats zangu zote[emoji35] Nkaamua kuweka front camera ndo tupo tunaangaliana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa...
8 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…