HESLB hawajakata mwezi huu!

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Nimeshangaa kuona mwezi huu sijakatwa 15% kwa ajili ya bodi ya mkopo. Ndo nimemaliza deni? Wamesahau? Nimesamehewa? Au ndo wamerudisha 8% kwa maana mwezi uliopita walikata pesa ya miezi miwili (Februari & Machi) kwa mkupuo?
Ikoje hii hali kwa wenzangu!?
 
Ss wengine tumeendelea kukatwa bodies 15%.
 
Back
Top Bottom