Nimemkomesha!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
[13/03, 18:41] Avit: Nipo kwenye daladala afu pembeni yngu limekaa jamaa...... bila ta aibu linasoma chats zangu zote
Nkaamua kuweka front camera ndo tupo tunaangaliana
[14/03, 23:26] Avit: *Marekani wanafunzi warefu wengi ni wachezaji wa basketball wa shule..lakn Bongo wanafunzi warefu wengi ni wafuta ubao*

Kama sio kurogwa ni nini

 
Back
Top Bottom