WID: Dear Women...

Habibu B. Anga

JF-Expert Member
May 7, 2013
6,557
25,716
Dear women,

Ni siku nyingine na mwaka mwingine tena, leo imekuwa tena! Siku adhimu kabisa ya kukumbuka fadhila zenu mnazotutendea juu ya huu uso wa Dunia, kuadhimisha kila hatua mnayopiga kufikia nchi ya ahadi na kuunga mkono struggle zenu kuelekea kupata haki sawa.

Safari yenu si nyepesi ukizingatia historia na tamaduni za ulimwengu na mifumo yake, lakini kila mwanaume wa kweli hawezi kusita kuunga mkono your struggles.. Kufanikiwa kwenu nyinyi, ndio kufanyika bora zaidi kwa ulimwengu.. Nyinyi ni wapenzi wa mioyo yetu, dada zetu na mama zetu.. Nyinyi mmetuzaa..

Kibinafsi kabisa, siku hii haitokuwa imekamikika pasipo kuonyesha kwa dhati kabisa shukrani zangu kwa wanawake walioleta a big difference kwa maisha yangu..

First and foremost; my mom.. Kwakuwa haumo humu sitaongea Mengi sana.. But she is a different kind of a woman.. Thank you for getting my back throughout my life hata pale ambapo ninapoku-dissapoint(ambayo ni mara nyingi tu).. Thank you for all the sacrifices.. Thank you for fighting for us, for me.. Thank you mom..

Pili, Nifah; the love of my life.. Thank you for being in my life, umekuwa Baraka kubwa zaidi kuwahi kuipata kutoka kwa Mungu, maisha yangu yamekamilika the day tumekutana.. Wewe ni moja ya viumbe adimu zaidi duniani, never thought kama bado Dunia ina perfect woman kama wewe.. Wewe ni mfano ambao every girl should follow.. Siwezi kumaliza maneno ya kukushukuru na kueleza uzuri wako na upekee wako.. Thank you Cheupe, my best friend, my closest council, msiri wangu, my love, my Cheupe.. Thank you mama for being the type of a woman that you are!! You make this whole life worth living..

Last, but definitely not least; to all the women.. Wanawake wote wanaoamini kuwa wanaweza, wanaweza kuifanya Dunia kuwa bora kuliko ilivyo.! Wanawake wote waliotia nia ya kuwa mfano bora kwa kizazi kijacho cha wasichana, wanawake wote waliotia nia ya kutimiza kusudi la Mungu kuwaumba, wanawake wote waliotia nia kuprove wrong wale wenye kuamini wanawake hawawezi… My sincere heart goes out to you all, all of you women..all of you mnaoamini pasina shaka kwamba, women can be Presidents, doctors, entrepreneurs, engineers, fashion moguels and still be great mothers and great wives!!

I salute you all.. You girls rock this world!!

HAPPY WOMEN'S DAY..!!

The Bold

Cc: Nifah, Blaki Womani, Valentina, Clkey, Shunie, espy, geniveros, wiser1, talnam, Dinazarde, Miss Natafuta, Honey Faith, Princess ariana, Grory to yhwh, Divine...

AND ALL.!!
 
asante shemela la shemeji ! ila umeniudhi hapo ulipomtaja Nifah unajua wivu sina ila moyo unauma !
wanawake ni kweli tuna mchango mkubwa sana katika dunia ila ninaamini pasipo mwanaume pia hakuna lolote tunaweza kufanya .mwanamke na mwanaume ni special pair ambayo ni Ngumu kuitenganisha katika hii dunia.tunawapenda sana wanaume na tutazidi kuwaenzi katika kuifanya dunia iwe nzuri. upendo mwingi sana kwa wanaume wote duniani
 
Dear women,

Ni siku nyingine na mwaka mwingine tena, leo imekuwa tena! Siku adhimu kabisa ya kukumbuka fadhila zenu mnazotutendea juu ya huu uso wa Dunia, kuadhimisha kila hatua mnayopiga kufikia nchi ya ahadi na kuunga mkono struggle zenu kuelekea kupata haki sawa.

Safari yenu si nyepesi ukizingatia historia na tamaduni za ulimwengu na mifumo yake, lakini kila mwanaume wa kweli hawezi kusita kuunga mkono your struggles.. Kufanikiwa kwenu nyinyi, ndio kufanyika bora zaidi kwa ulimwengu.. Nyinyi ni wapenzi wa mioyo yetu, dada zetu na mama zetu.. Nyinyi mmetuzaa..

Kibinafsi kabisa, siku hii haitokuwa imekamikika pasipo kuonyesha kwa dhati kabisa shukrani zangu kwa wanawake walioleta a big difference kwa maisha yangu..

First and foremost; my mom.. Kwakuwa haumo humu sitaongea Mengi sana.. But she is a different kind of a woman.. Thank you for getting my back throughout my life hata pale ambapo ninapoku-dissapoint(ambayo ni mara nyingi tu).. Thank you for all the sacrifices.. Thank you for fighting for us, for me.. Thank you mom..

Pili, Nifah; the love of my life.. Thank you for being in my life, umekuwa Baraka kubwa zaidi kuwahi kuipata kutoka kwa Mungu, maisha yangu yamekamilika the day tumekutana.. Wewe ni moja ya viumbe adimu zaidi duniani, never thought kama bado Dunia ina perfect woman kama wewe.. Wewe ni mfano ambao every girl should follow.. Siwezi kumaliza maneno ya kukushukuru na kueleza uzuri wako na upekee wako.. Thank you Cheupe, my best friend, my closest council, msiri wangu, my love, my Cheupe.. Thank you mama for being the type of a woman that you are!! You make this whole life worth living..

Last, but definitely not least; to all the women.. Wanawake wote wanaoamini kuwa wanaweza, wanaweza kuifanya Dunia kuwa bora kuliko ilivyo.! Wanawake wote waliotia nia ya kuwa mfano bora kwa kizazi kijacho cha wasichana, wanawake wote waliotia nia ya kutimiza kusudi la Mungu kuwaumba, wanawake wote waliotia nia kuprove wrong wale wenye kuamini wanawake hawawezi… My sincere heart goes out to you all, all of you women..all of you mnaoamini pasina shaka kwamba, women can be Presidents, doctors, entrepreneurs, engineers, fashion moguels and still be great mothers and great wives!!

I salute you all.. You girls rock this world!!

HAPPY WOMEN'S DAY..!!

The Bold

Cc: Nifah, Blaki Womani, Valentina, Clkey, Shunie, espy, geniveros, wiser1, talnam, Dinazarde, Miss Natafuta, Honey Faith, Princess arina, Grory to yhwh, Divine...

AND ALL.!!
Thank you God Bless you.
 
Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.

Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.

Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.

Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.

Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.

Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you
Hongera Nifah Mungu awabariki sana sana
 
Nakupenda sana Cheupe.!

Allah ataleta kheri.. Inshallah
 
sasa kwenye ndoto wewe unacontrol gani? ndoto si ndoto?

Maana yake ni kwamba, ukiona choo ndotoni ukakitumia, akitoka usingizini utakuta umejichafua.

Nikihusianisha na wewe kutwambia eti unatupenda wakati huwa unasema ukikuta simba anamjeruhi mwanaume unaongezea tomato sauce, sasa leo useme unatupenda tujichanganye kukutokea kumbe una lako unataka kutufanyia, mimi hapana aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom