Why always makonda wakati kuna wenger, Mugabe na Museveni.

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
871
Helou wanajamvi kumekua na shinikizo kubwa la kutaka mh makonda ajihudhuru na ana mwaka mmoja tu tangu awe RC

Sasa me najiuliza kuna watu wamefanya wameongoza mda mrefu na wanatenda ndivyo sivyo kama

1.Robert Mugabe
2. Arsene Wenge
3. Museveni

Mbona hawa wamevumiliwa na miaka mingi hawataki kujihudhuru sembuse makonda.
 
Hii nayo thread ya msomi?! Hao uliowataja hawaathiri maisha yetu kwa chochote lakini Makonda anaathiri maisha yetu, ikizingatiwa ni hivi karibuni wafanyakazi hewa wametumbuliwa na kigezo ki kubwa ni kughushi cheti kitu ambacho Makonda pia amekifanya.

Kwa nini yeye na si wale 17,000 ?!.
 
62bf2f018a9c94f99adf3a40434ec4c2.jpg
 
Hii nayo thread ya msomi?! Hao uliowataja hawaathiri maisha yetu kwa chochote lakini Makonda anaathiri maisha yetu, ikizingatiwa ni hivi karibuni wafanyakazi hewa wametumbuliwa na kigezo ki kubwa ni kughushi cheti kitu ambacho Makonda pia amekifanya.

Kwa nini yeye na si wale 17,000 ?!.
Anatuathiri sana hasa zile biashara na starehe zetu.Hatumpendi yule!!
 
acha kumfananisha wenga na
Vtu vya kijinga museven na,Wenger n ndugu so unafaa
Kuwaheshimu
 
Back
Top Bottom