Msaada wa kung'amua fumbo hili

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
Happy Monday Guys!

hapa leo nawaletea kitu cha kuchangamsha bongo;

swali linasema:

KUNA MTOTO ALIKUWA ANALIA JUU YA KABURI, ALIPOULIZWA UNALIA NINI AKAJIBU:

"KAKA WA MKE WA MAITI ni MJOMBA WANGU"

JE MAITI NI NANI?

MSAADA WENU PLZ NAOMBENI JIBU, UKIPATIA NAKUPA ZAWADI :p
 
Hapo Maiti ni Mjomba meaning mume wa mke ni shemeji mtu na mjomba. so mjomba na mke wa maiti ni mtu na kaka yake. means dada mtu wa mjomba ni shangazi au mama mdogo, mume wa mama mdogo/shangazi nae ni baba mdogo/mjomba.
Have a blessed Monday 1st Class beeeeeyyyyyaaaach
 
Basi ni mjomba ake
NA

HONGERA KWA KUKOPI JIBU FB YANGU

AHAHAHAHA
Ni baba yake wa Kambo.!
UMEKOSEAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom