Happy birthday

happy birthday chuga boy, roho yake husna si unajua vile tunavyokupenda

naombeni location ya kuja kukata cake na birthday boy hiki ndio muhimu kuliko chochote husna nasubili jibu
Mama wa Fursa, usisahau tupicha tuwili tutatu huko. Najua nikikuambia unipitie, utahairisha safari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom