JAMANI NIWAULIZE? NENO "BUKU" LIMEISHIA WAPI!

ally kitupe

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
259
217
Ebu nisaidie jamani zamani mabest na mademu zangu walikuwa wakiniomba elfu moja wanasema naomba buku lakini siku hizi wakiniomba wanasema naomba elfu moja mpaka najiuliza kwann au ndo msisitizo ili niwapatie iyo ela ebu nisaidieni au safari ya dom imekaribia
 
Pesa imepanda thamani,
Buku ilikuwa ishara ys kuibeza lkn sasa hivi ina thamani sana
 
mh hilo neno bado lipo, na linatumika ila tu elewa si lugha rasmi, mtu analitumia kuchangamsha maongezi kuyafanya yaonekane ya kiujana zaidi, ila anayeomba elfu moja pia anaelewa kuwa pia huitwa buku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom