nakupenda

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,806
9,300
Ndugu zangu kuna hili neno moja hivi
ni dogo lakin linamaana sana kama ukilitamka kwa hisia
wengine wanakufa kwasababu ya hili neno na wengine wanalia sababu tu ya ilo neno
na menzangu na mimi wanshindwa kabisa kulitamka ili neno, mafundi wanawaita madomo ze ge

neno lenyewe linaandikwa " NAKUPENDA" kwa kiinglishi wanasema I LOVE YOU na lugha nyingine wansema JE TAIME
ebu tufanye kama tunakaandika haka kaneno kwa lugha unayoijua wewe kufikisha ujumbe wako kwa muhusika hata kama yupo humuhumu.

nakupenda *Nathan*
 
Ivi kumbe madomo zege huwa wanashindwa kusema neno nakupenda kaaah mbona hilo neno rahisi saña.
 
Ivi kumbe madomo zege huwa wanashindwa kusema neno nakupenda kaaah mbona hilo neno rahisi saña.
ilo neno ni rahisi kwako kulitamka lakini wengi wanachua mwaka mzima kujipanga na ku train jinsi gani ataliropoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom