JF active members only: Ukiona una likes chache kuliko idadi ya post

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Kwa Members active wa JF wote.

Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.

Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda mwingi kupost vitu visivyokuwa na maana kuliko vile vya msingi.

Sasa mbadilike. Jitahidini kuwa na Likes nyingi kuliko Idadi ya Posts.


Mtapiga kelele wenye mipost ya ovyo ovyo ila ukweli ndyo uo. Mwe natoa post zenye maana. Mnawapa kazi sana Moderators.
 
kama wewe hapo huo upuuzi uliopost ndio maana una likes chache kuliko post
 
Kwani ukiwa na like nyingi bashite ndio atatoa vyeti...
Kilichopo nikupeleka ujumbe tu,kipimo kama ni upuuzi ni kupigwa ban kama ww inabidi ushushiwe ban!!
 
kwani kiwa na likes nyingi unalipwa au? maana kama kuna manufaa na sisi tuanze kuomba malikes
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.

Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.
 
Vitu vya kipuuzi puuzi humu hupata like nyingi tu mbona! Ushabiki, mihemko ya kiitikadi hii hata upost upumbavu wa namna yoyote ile utapata like nyingi tu
 
1a5b0b9a6f4a7c1cf31311062d02e971.jpg


Na wewe ni mmojawapo au?
 
mi nauona ukweli hapa.....lkn ndio hivyo watu huwa hawapendi kusikia vitu wasivyovipenda
 
Walioweka mfumo wa kuwa na likes hwakuwa wajinga.

Likes zinaimply kuwa mtoa mada anapost vitu vyenye logic. Ni tofaut na wale wanaopost ovyo ovyo tu.
Ndo uelewa wako ulipoishia. Hujaona posti za ovyo ndo zinazozoa likes nyingi na hata kupata viewers wengi? Hapo umefeli ndugu...
 
Back
Top Bottom