Punyeto haindoi machunusi Kama nilivyodhani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,692
2,000
Sababu iliyonifanya nijiunge na kifurushi Cha hatukomi kutoka CHAPUTA ilikuwa Ni kupunguza shahawa ambazo niliamini kuwa ndizo zinasababisha nitokewe na chunusi usoni.na kwa kuwa sikuwa na access ya demu ikanibidi niangalie njia mbadala ya kupunguza haya maprotini mwilini.nikapiga puli Zaid ya mwaka Sikuona chunusi kuisha.kwa hiyo nawashauri ndugu zangu mnaopiga punyeto kwa sababu Kama yangu kuwa muache tu kwani sio kweli hamna kitu Kama hicho.labda Kama mko na sababu nyingine tofauti na ya kwangu.
 
gh hussa

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
2,887
2,000
Hivi mtoa post ndo we jamaa wanasema ni mwana lumumba timu fisiemu si ndo wee ulitupia picha umevaa suruale inakitambaa cha gunia vipi ushapata hela za guest nliona kweny uzi wako Fulani unalalamika huna hata pesa ya kupeleka manzi zako huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaendelea kukariri watu na post zao mpaka lini? don't take this things too seriously brother..usikazie fikra mambo fulani kuhusu watu na thread zao.come on!zingatia linalokuja na unaloliona sawasawa na akili zako.
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,120
2,000
Sababu iliyonifanya nijiunge na kifurushi Cha hatukomi kutoka CHAPUTA ilikuwa Ni kupunguza shahawa ambazo niliamini kuwa ndizo zinasababisha nitokewe na chunusi usoni.na kwa kuwa sikuwa na access ya demu ikanibidi niangalie njia mbadala ya kupunguza haya maprotini mwilini.nikapiga puli Zaid ya mwaka Sikuona chunusi kuisha.kwa hiyo nawashauri ndugu zangu mnaopiga punyeto kwa sababu Kama yangu kuwa muache tu kwani sio kweli hamna kitu Kama hicho.labda Kama mko na sababu nyingine tofauti na ya kwangu.
Mkuu una chunusi kama Fid Q hizo huwa hazitoki kwa Chaputa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom