JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili. Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band Mashairi ya wimbo ya Diamond : Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina...
8 Reactions
210 Replies
5K Views
Mzuka wana Jamvi ? Yerereeeeeerreereerreereyere!!! Sijitaji maelezo mengi picha inajieleza , nataka maoni yako unaonaje ? Oyo : Sitaki Wadada wa Jf msinitafute PM , Mimi nipo kwenye No Fap...
15 Reactions
61 Replies
2K Views
Dah hatari kweli......!!!!!!!!!!!! Hatari na nusu....
5 Reactions
50 Replies
2K Views
CC Pascal Mayalla Mshana Jr Na ndivyo nilivyompata wangu wa moyoni FaizaFoxy
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Hakika sasa huyu jamaa ni kipenzi cha wengi.
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube. Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Ila huyu mtoto wa kishua bwana, Bill Lugano natumaini ubize wa kusafiri nchi mbali mbali umekuweka mbali na JF
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni majina gani yamekaa kiuzinzi, vicheche? Yaani ukilisikia tu unajua huyu zoazoa.
5 Reactions
362 Replies
49K Views
Kwema wakuu. Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu. Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
10 Reactions
132 Replies
3K Views
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Hivi kunyoa kiduku ndio kunafanya mtu anakuwa mjinga au ujinga ndio unafanya mtu anyoe kiduku?
2 Reactions
8 Replies
498 Views
Evelyn Salt You comment like a dude. You post masculine. Unabishana kibabe Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish Are u a dude, stud or...
36 Reactions
219 Replies
7K Views
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu. Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya...
21 Reactions
171 Replies
6K Views
Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦‍♂️😂
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Mabaharia wenzangu ndio wanaelewa kazi kubwa wanayofanya hawa jamaa katika uzi wetu ule pendwa🤣 Shukrani wakuu Swahili AI Mideko
3 Reactions
5 Replies
399 Views
Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi...
6 Reactions
4 Replies
568 Views
"Naona tunapotezeana muda tuachane tu. Mimi nimepata mtu mwingine nakutakia kila la kheri" Jibu kama mtu ambae ameshamove on.........................
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Back
Top Bottom