Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa.
Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba...
Kwa mujibu wa moja ya manibii muhimu na wakuaminika hapo daslam, ni kuwa kuanzia mwezi huu wanne wanaume wengi watapoteza nguvu za KIUME na makende kusinyaa.
Nabii ametoa wito kwa wanawake...
Kwema?
Mimi nikinywa pombe nakuwa active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakuwa ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa...
Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.
Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema...
Wana Chitchat habari ya mchana
Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni...
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa...
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na...
Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!.
Sasa kwa taarifa ni...
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi.
Angalau...
Ooooy! Niaje wakuu,
Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge...
Niaje wakuu, bonjour comment cava!
Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako.
Au...
Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani?
Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu?
Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
Wasalaam..
Christmas ni kesho tu hapo, kila mtu anachinja chinja na kuandaa madikodiko plus kupanga viwanja vya kutanua.
Huu ni uzi maalum kwa kupeana zawadi na mialiko, alika memba mwenzio...
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.
Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi...