Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.
Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?
Watag members wenye...
Mhindi mmoja unauzwa sokoni shilingi mia mbili kwa bei ya jumla.
Mhindi huo ukiuchoma, unatoa vipande vitano vya mia mbilimbili. Hapo faida ni mia nane (800)
Tuseme gharama za uzalishaji ni 300...
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.
Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi...
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda...
Kwa upande wangu mpaka sasa nimeshawakula girls 12. Nategemea idadi hii kudumu kwa miaka miwili mbele kutokana na mapambano yangu dhidi ya hali mbovu ya kiuchumi.
Hellow
Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo
Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na...
Mwezi wa Pili unaisha leo, wale mliozaliwa tarehe 29-02 endeleeni kusuburi mpaka 2028!
Wazee wa mwaka wa kuforce mipango ya kuitwa Boss imekaaje kwa mwezi wa 3?
Wale ambao LBL imewasaula...
Ilikuwa hivi.
Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba.
Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa...
Part 1:
Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu.
Jamaa...
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.