Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,902 Mar 31, 2025 #1 Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. Your browser is not able to display this video.
Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. Your browser is not able to display this video.
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,297 Reaction score 20,678 Mar 31, 2025 #2 Mjanja M1 said: Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. View attachment 3288344 Click to expand... Mbona anakula kichafu hivyo..
Mjanja M1 said: Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. View attachment 3288344 Click to expand... Mbona anakula kichafu hivyo..
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,218 Reaction score 64,324 Mar 31, 2025 #3 Kila mmoja atalia kwenye sahani yake
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,902 Mar 31, 2025 Thread starter #4 Naanza na nyumba moja baada ya nyengine. Asante Mazoezi kwaajili ya Mialiko niliyoipata Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. www.jamiiforums.com
Naanza na nyumba moja baada ya nyengine. Asante Mazoezi kwaajili ya Mialiko niliyoipata Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata. www.jamiiforums.com
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,989 Mar 31, 2025 #5 Roho za uchu na ulafi utaziona sana leo
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,255 Reaction score 58,977 Mar 31, 2025 #6 DATAZ said: Roho za uchu na ulafi utaziona sana leo Click to expand... Njaa kali
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,128 Reaction score 7,558 Mar 31, 2025 #7 Ni huu huu ubwabwa vumbi ujidhalilishe namna hiyo au ni vipande vya nyama ya ngamia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,554 Reaction score 196,268 Mar 31, 2025 #8 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: Mahondaw