JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula. Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja. Nunua mishkaki Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu salam. Kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu usafiri wa mabasi kutoka dodoma kwenda tunduru ikiwezekana nauli take. Asanteni.
1 Reactions
8 Replies
539 Views
Msinishangae sana Ile kasumba ya mwanaume kusherehekea birthday ni ushamba sio ya maana kila mtu ana vitu vyake vinavyo mpatia furaha Leo nimeongeza mwaka mmoja naomba mnipigie makofi 🎂🎈
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Jamaa anadai alivyovaa imemgharimu Euro 366800 kama Tsh 1b.. hawa jamaa ndo mabingwa wa kufeki. Pia kama hujui kifaransa hata kidogo ni shida yako binafsi. Hainihusu.
2 Reactions
7 Replies
373 Views
CHAPUTA (Chama Cha punyeto Tanzania) kimepata pigo baada ya serikali yao pendwa kupiga ban vichocheo vya kazi yao, yaani picha na video za raha utamu. Wanaendelea kuiunga mkono serikali lakini...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Mambo jamani,hivi CHAPUTA ni nini maana hili neno limejirudia sana humu Jf, msinicheke ila kujua Si mbaya.
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Hello niwaulize mganga mwenye titi moja anapatikana pande gani ya Tanzania?? Nimeishi kumtafta sana na hakuna jibu la kweli. Je yuko Tanzania pande gani?? Kuna mtu anaeza nipa maelekezo ya njia...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza...
8 Reactions
8 Replies
555 Views
Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha. Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala...
5 Reactions
20 Replies
856 Views
Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
10 Reactions
203 Replies
8K Views
Kwema jamani? Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
MIMI:- Mwalimu, nina swali 🙋🏾‍♂️ MWALIMU:- Ni lipi? 🙄 MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? 😜 MWALIMU:- Sijui 😒 MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani 😁 MWALIMU:-...
5 Reactions
11 Replies
481 Views
Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu...
2 Reactions
10 Replies
418 Views
Monday, November 29, 2010 3:43 AM Mwizi wa nchini Japan ambaye kutokana na kufanya wizi kwa mwaka alikuwa akijiingizia kiasi cha pesa sawa na Tsh. Milioni 540 ametoa...
3 Reactions
51 Replies
10K Views
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa Tatizo liko wapi? Tatizo hili hapa, "nina bodaboda wangu"...
3 Reactions
20 Replies
737 Views
Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
3 Reactions
9 Replies
461 Views
Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
1 Reactions
3 Replies
311 Views
1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
12 Reactions
84 Replies
4K Views
Wadau naona usingizi hauji, nikicheki horror movie, ntapata usingizi?
6 Reactions
98 Replies
2K Views
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom