JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Kipi kinauma sana MOYONI: 1.Kudharauliwa. 2.Kumpenda mtu asiyekupenda 3.Kuwa mpweke. 4.Kutofurahiwa na watu. 5.Kufeli mitihani. 6.Kumpoteza mtu muhimu. 7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine...
3 Reactions
14 Replies
650 Views
Habari zenu Wana JF wenzangu! Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata...
7 Reactions
112 Replies
7K Views
Poor Brain mapenzi yata kuua min -me endelea kufanya meditation
20 Reactions
756 Replies
14K Views
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi. Nini umekiona kwenye jukwaa wiki...
25 Reactions
256 Replies
8K Views
Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake. Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Mapenzi upofu Sisikii Wala sioni kwa Lamomy ,nawaza hili litakua jishangazi la mwendo Kasi, Lina mipaja na miguu minene, atakua na nyonyoh kubwa kubwa zilizojaajaa Kila nikimfikiria simpatii...
14 Reactions
192 Replies
5K Views
Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
20 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii kauli nikisikia tu na badilika.
2 Reactions
2 Replies
231 Views
Mzuka wanajamvi! Freemasons tafadhalini muondoeni Elon Musk kwenye hiyo nafasi na hata kumi bora hasiwepo. Yani mmetuletea mtu wa ajabu sana. Yani bora nyakati zile mlituwekea kina Bill Gates na...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Halafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tu🤣 Kuchongeana tu😏
12 Reactions
27 Replies
937 Views
Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
5 Reactions
14 Replies
717 Views
Take your month and date of your birth and search for Quran verse. Maybe allah is giving some message...! Comment the verses
4 Reactions
1 Replies
213 Views
Utaweza kweli 😂 Kuna tukio la ujambazi limetokea mtaa wa jirani na jambazi ni kati ya Alex, Ben, Rick na Maria angalia hii picha. Ila walipofuatwa na polisi kila mtu alidai kwamba hakutoka usiku...
5 Reactions
11 Replies
739 Views
Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali. Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
11 Reactions
235 Replies
6K Views
We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula. Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja. Nunua mishkaki Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu salam. Kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu usafiri wa mabasi kutoka dodoma kwenda tunduru ikiwezekana nauli take. Asanteni.
1 Reactions
8 Replies
538 Views
Back
Top Bottom