JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi. Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi . Ila sasa kwa...
11 Reactions
15 Replies
882 Views
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha...
-1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake. Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na...
23 Reactions
729 Replies
113K Views
Yaani ndio kama hivi, maana hata sielewielewi. Saa mbili kamili usiku: Bibi yenu: We mzee msosi tayari, nikutengenezee kachumbari? Mimi: Tena weka pilipili ya kutosha mama, nina apetaiti ya watu...
20 Reactions
113 Replies
17K Views
Yes... It is my birthday... Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana... Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu... Ahsante Mungu...
13 Reactions
117 Replies
17K Views
Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
3 Reactions
8 Replies
475 Views
Nataka kila weekend niwe naenda cinema je wapi Kuna cinema quality sanaa na mazingira mazuri?
2 Reactions
6 Replies
457 Views
Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi. Iko...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Aise! Wajuvi Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Natumaini ni kwema wakuu. Utamrudia Ex-wako ama bora kufa? Uzi tayari Cc: Binti Sayuni03 | To yeye | Anastasia21 | Lamomy | holoholo | Poor Brain | Fanton Mahal | secretarybird | nakwede97 |...
13 Reactions
91 Replies
3K Views
1. Mke laZima Kulala ukutani 2. Kukojoa nyuma ya choo 3.ufagio unakaa nyuma ya mlango 4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara 5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga 6 kuisha vyombo...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
"""Leo nimepata heart breaking ya hatare 😭😭😭 Sababu nimepata kwa rafiki yake anasema et kisa mimi sijui kulamba lolo "" Hii LOLO ndo nini wakuu mzabzab Vishu Mtata BICHWA KOMWE -
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
16 Reactions
142 Replies
3K Views
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi. Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
15 Reactions
138 Replies
3K Views
Kwema! Hizi ni baadhi ya nyuzi za miaka iliyopita zenye kuhabarisha, kuburudisha, na kufundisha.
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
4 Reactions
6 Replies
605 Views
Assalam alyeikum mabibi na mabwana..? Bila kuwachosa njoga niwape kisa hichi kilichonikuta, waswahili wanasema ujana maji ya moto sasa mimi nilikutana na moto wenyewe!. Ilikuwa ni usiku tulivu...
18 Reactions
39 Replies
2K Views
Waifu kasafiri kikazi. Katuachia (mimi na dada wa kazi) upweke kama wote. Wengine mnawezaje kuishi katika hali kama hii?
7 Reactions
43 Replies
1K Views
Back
Top Bottom