JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi kwa upande wangu hali imekuwa tofauti sana. Uchumi umekabia juuu wee sasa naona ukabie miguuni sasa.🥺 Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
4 Reactions
27 Replies
683 Views
Kila mtaa ulikuwa na dogo aliekuwa mtalaam wa kulenga🤣
12 Reactions
14 Replies
747 Views
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa). Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:- Kuniuliza Swali...
14 Reactions
261 Replies
7K Views
Tajiri hasalimii. Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao...
8 Reactions
23 Replies
878 Views
Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu...
3 Reactions
18 Replies
645 Views
Dar bwana unashangaa mwanaume amekuzoea ghafla.anajileta bana anajileta tena hakujui humjui unasema mtu kanielewa nini? unamshukuru Mungu mkeka wa wa maombi kumi na mbili kwa mwamposa umetick...
9 Reactions
24 Replies
891 Views
Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa...
12 Reactions
149 Replies
3K Views
Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60. Tafuta hela V8 Sio gari za selikari. Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe. Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Chat gpt imepagawa haiwezi kutofautisha 10,007 (Kumi alfu na saba) na 17,000 (elfu kumi na saba) Ona ilivyojam 😂😂 Hakika! Hapa chini ni maandishi ya nambari hizo kwa maneno ya Kiswahili...
8 Reactions
16 Replies
834 Views
Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
33 Reactions
117 Replies
2K Views
Kuna Bar moja nilipita kupata Kifungua kinywa. Nikaona wapishi wa majiko mawili tofauti wakiazimana sahani, kisu,sufuria na Toothpick Unaposema huli kitimoto ukienda bar yenye majiko mawili kuwa...
4 Reactions
30 Replies
779 Views
Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂 Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume...
11 Reactions
78 Replies
3K Views
Ccm wanaendelea kufurahia Mema ya nchi huku shuleni kukiwa hakuna walimu na wanafunzi wanakaa chini bila ya madawati🤔🤔🤔
4 Reactions
5 Replies
726 Views
Hi chit chat, Mimi Mtaani 1. Cheupe 2. Wa kishua 3. Mwanachuo JF 1. Mwanaume 2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja...
17 Reactions
160 Replies
4K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/tukutane-hapa-tuliowahi-kuvamiwa-na-majambazi-tupeane-uzoefu-ushuhuda.1680289/ Ni wa Stori za kusisimua juu ya kuvamiwa na majambazi. Vp upande wako?
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Heshima sana wana jamvi. Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member. Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo. Ngongo kwasasa Kizimkazi
22 Reactions
56 Replies
2K Views
Kama bado una pambana ili kumlidhisha mwanamke naomba nikukumbushe kuwa Kuna harmonize Ali honga Range kajala one and two bado haikutosha ku mridhisha mwanamke Haji Manara ame mpeleka Zay Lissa...
2 Reactions
3 Replies
213 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/tukutane-hapa-tuliowahi-kuvamiwa-na-majambazi-tupeane-uzoefu-ushuhuda.1680289/
0 Reactions
2 Replies
236 Views
HABARINI ZA UZIMA WANA UBAYA UMWELA KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA LENGO KUU BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO TTUIMBEEEE MAGOLI YA...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa...
1 Reactions
2 Replies
282 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…