JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo ni siku nzuri sana ❤️ Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu. Lakini na wadogo zangu pia. Twendeni kanisani (wakristo) Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha...
5 Reactions
11 Replies
513 Views
Kua senior au expert ni kigezo gani?
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Hata kama vyuma vimekaza lakini kula bata muhimu Tarehe 10 ya mwezi nataka kwenda Tanga kutembea je nisehemu ipi nzuri katika Jiji la Tanga nataka kwenda kula bata na familia yangu.
2 Reactions
37 Replies
14K Views
Huyo mtangazaji wa TBC taifa,napenda utangazaji wake,kila kipindi anachotangaza nakipenda sana,hivi sasa anatangaza mkesha wa wahenga,nipo macho mpaka amalize.
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Nataka nione km ww ni mjanja na mzaliwa wa TZ,ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho MSIKITINI NA KANISANI na vile vile jina la mji hilo ni jina la msanii wa...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Kwema jamani Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED samahani washkaji...
23 Reactions
156 Replies
5K Views
Wakuu za Leo, Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa. Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Nipo mtaani kwenyu na mamba yangu mguuni naomba mnikaribishe kwa moyo mkunjufu sana😂💪🏿✌🏿
2 Reactions
6 Replies
319 Views
Sababu iliyonifanya nijiunge na kifurushi Cha hatukomi kutoka CHAPUTA ilikuwa Ni kupunguza shahawa ambazo niliamini kuwa ndizo zinasababisha nitokewe na chunusi usoni.na kwa kuwa sikuwa na access...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missed
18 Reactions
121 Replies
12K Views
Tabia hizi zina kela watu wengi 1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday Hii sio sawa tena mbele za watu ase 2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu...
11 Reactions
144 Replies
4K Views
Ufeki Ufeki Kufeki Vyafeki Nyumbani unakuta una li sabufa feki linakupiga kelele na kutokujua unaweka msauti mkubwa kukomoa majirani kumbe unajimaliza mwenyewe. TV feki linakumulikia mwanga...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF. Mfano: Bab fei hali mbaya huko kwenu vipi tunda tamu ni Ni Sheeeda
50 Reactions
2K Replies
60K Views
Je WAJUA kuwa MABARA (continents) yote duniani yanaanza na herufi sawa na kumalizika na herufi sawa pia ?? mfano huu hapa : 1. Afrika 2. Asia 3. Ulaya 4. Amerika (Kaskazini) 5. Amerika (kusini)...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti. 2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi...
2 Reactions
17 Replies
911 Views
Wakuu Bar Maarufu ya Ambiance Sinza Imerudi. . Bar ya Ambiance Kwa Sasa Ina Unyama Mwingi. . Jamaa kaweka Tv Mpaka Bar, Sehemu ya Smoking Ndio Unyamaaa Mwingiii. . Pale smoking room Mwanangu...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
2 Reactions
5 Replies
350 Views
MALKIA WA NGUVU~PART1 SIA: Birthday yangu inakaribia, Oh My Gaaaaash! Hata sijui nitafanya kitu gani, muda umeenda na nimechelewa mpaka inakaribia valentine sijaplan uuuwi nafwaaaa! Sijui niende...
2 Reactions
32 Replies
13K Views
Back
Top Bottom