JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Special kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu... kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Hivi kwanini mnakua hamuelewi pale mwanamke anapokwambia tiari anampenzi wake, jamani mnakela yani mtu anang'ang'ania tafikiri aliambiwa nimezaliwa kwa ajili yake.!!!
1 Reactions
54 Replies
4K Views
zilikua ni siku ngumu sana kwangu kupita bila kusikia kitu chochote kutoka kwa judgement jaman, huyu kaka sijui kanipa nini kila muda ilikua ni kumuwaza yeye... lakini cha kustukiza nlivorudi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
ndo khabareee ya mujini...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna wadau wanaamini watoto wa kimaskini Wana akili sana lakini watoto wa Matajiri huwa wajinga je Kuna ukweli gani kuhusu hili?
2 Reactions
17 Replies
491 Views
Habari zenu wakuu Wengi wetu kama sio wote tunawasiliana kwa njia ya simu mara kwa mara, lakini wakati mwingine unakuta kuna ile huna story ya kupiga na aliekupigia/uliempigia, kwangu mimi vitu...
13 Reactions
92 Replies
3K Views
Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea. Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
55 Reactions
146 Replies
4K Views
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi? Ila nadhani inaeleweka. We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika...
9 Reactions
31 Replies
956 Views
Wakuuu waslaam. Mudaa mwingine tuwaze ujinga,nipo natizama mechi ya watani baada ya gori la azizz nikapata wazo fln. Iko hivi hapa mezani kwangu wakati napata chakula na burudani kwa wakati mmoja...
0 Reactions
3 Replies
417 Views
Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
9 Reactions
42 Replies
1K Views
Simulizi: My family Sehemu ya pili Mtunzi: Kijana Masikini ILIPOISHIA "Daa Qashy nae akapanda bodaboda na kumpa ishara dereva aifate pikipiki aliyopanda yule mzee...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyani Ngabu mzee wa kijiji Hawa wakongwe umu wapewe heshima
4 Reactions
2 Replies
305 Views
Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa...
3 Reactions
11 Replies
639 Views
Nimechoka na nimeboreka, niambie kimoja kati ya hivi vitano; Kitu gani cha ajabu mwanaume au mwanamke ameshawahi kukuomba? Umeshawahi kuvunja urafiki, nini kilitokea? Umetumia hela yako kununua...
8 Reactions
122 Replies
2K Views
Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga...
0 Reactions
9 Replies
719 Views
Kama unadondoo yako juu yachochote weka hapa, iwe wazo ama msemo uliobuni weka hapa!, sharti iwe dondoo fupi tu!. Naanza namna hii!. Soma kuhusu saikolojia ya binadamu, ukiielewa utapunguza...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
I'm so happy today, I celebrate another year in my life. I would like to share this information so that I can earn something new from this platform. I expect to get sometips about opportunities in...
4 Reactions
10 Replies
969 Views
Ukichelewa kurudi nyumbani ni shida,ukiomba unyumba unapewa kwa manyanyaso.Ukikutwa unaongea na mwanamke mwingine hata kama ni mambo ya kawaida unaweza kulala Lock up.Kila kitu unaelezwa kwa ukali...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Naimani mko poa. Leo nimeleta huu uzi kuchangamsha jukwa kidogo 🤣🤣 Kuna VICHAA wengine ni real wanashida hiyo lakini nina imani wapo wengine wanaigiza Kwa sababu zao binafsi. Hapa mtaani kwetu...
2 Reactions
8 Replies
527 Views
Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti...
3 Reactions
18 Replies
761 Views
Back
Top Bottom