JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Dakika za Jioni........ Kwa pozi hili unadhani nini kinaendelea katika ubongo wake kwa sasa?
3 Reactions
2 Replies
587 Views
Unajua kabisa hapa duniani tunapita, wengi kufikisha miaka 90 ni bahati nasibu, kwa nini sasa tunaishi kwa kuteseka? Unaamka asubuhi unawahi kibaruani, mara ufokewe na bosi wako, hayo yote ni ya...
6 Reactions
24 Replies
673 Views
Nimekaa zangu kwa mamantilie nmeagiza ugali dagaa nakula ghafla namuona pembeni mtoto wa mamantilie anakula bure..tena wali na nyama,Yaani nimeshikwa na hasira hapa na hiki chakula silipii..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba Mwampamba...
5 Reactions
5 Replies
420 Views
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana. Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia...
37 Reactions
210 Replies
4K Views
Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza? Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Nazungumzia utapeli mkubwa kama vile kutapeli bandari au rasilimali kubwakubwa, either umefanya au umefanyiwa na je reaction ya wananchi ilikuwaje?
4 Reactions
9 Replies
466 Views
Habari wakulu..! Dakika chache zilizopita nilikuwa napata safari zangu mbili tatu hapa sports pub... Sasa wakati naendelea kuzibua chupa moja baada ya nyingine, akaja boss flan akiambatana pisi...
2 Reactions
15 Replies
721 Views
Wanajipendezesha sana nje, lakini ndani ni wachafu. Si ajabu kuvaa nguo mpya kama dela wakati hata kuoga hajaoga. Na sehemu anayolala inaweza kuwa chafu kabisa. Wana midomo sana. Hata ukiwamsha...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh. Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine. Una lipi la kuwashauri...
4 Reactions
28 Replies
828 Views
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa. Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi. Leteni...
6 Reactions
90 Replies
2K Views
Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Hivi kuna kifungua kichwa kizuri bila kiporo. Asubuhi umeamka zako baada ya kuswaki muda wa chai ukute wali maharage wa jana na chai ya rangi yenye mchachai wajameni. Hizi ndo chai za kibabe...
3 Reactions
21 Replies
929 Views
Wakuu habari zenu? Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza. Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja...
7 Reactions
7 Replies
404 Views
Na Mimi nimeamua kuja na challenge yangu...
3 Reactions
6 Replies
311 Views
Habari wadau, ndugu, jamaa na marafiki. Je weekend yako inaendaje, share nasi kidogo Weekend yangu kiukweli imeanza vizuri na taratibu, nimeanza kwa kwenda kutembelea kidogo miradi yangu, ambayo...
2 Reactions
5 Replies
395 Views
Wewe mzi...fu nakuchana leo, ukienda lodge uache kusema show time bei gani. Ni short time
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wassalaam. Happy birthday my lovely sister🥰 Allah akulinde,uishi kipenzi🥰
10 Reactions
38 Replies
975 Views
Back
Top Bottom