JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Drop any motto or saying that made you feel like this is huge. mine is :- I still repeat No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
11 Reactions
88 Replies
3K Views
JINA: Kijana Masikini SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha. kwanini aliyopo hatufai? 1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa. (ushahidi ni ban alopewa jana) 2. Sio mbunifu. Akili...
17 Reactions
262 Replies
4K Views
Kati ya kufumaniwa na mke wa mtu na kukutwa unafanya uchawi kipi kina afadhali. Msala gani una afadhali kati ya hiyo misala miwili?😁
1 Reactions
10 Replies
417 Views
Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
4 Reactions
12 Replies
545 Views
Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo. Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli Maana...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Somewhere in Kigogo Sambusa.... Katika utulivu wa hali ya juu najiuliza haya maisha yangekuwaje bila kitimoto rost, ndizi mbili na kachumbari pembeni? Kungekua na mbadala wake?.... nikiwa ndani...
13 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu Sii vibaya tukikumbushana maana ni ustaarabu wa kawaida kabisa. Unakuta mtu ana shughuri yake maybe send-off au ndoa, na anahitaji michango kutoka kwa wadau ndugu jamaa na...
3 Reactions
4 Replies
232 Views
Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo? Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio...
4 Reactions
35 Replies
956 Views
Unataja location ulipo unakaribisha mtu yeyote aliyekaribu na sehemu ulipo. Kama ni piskali mnakula maisha safi.. Kama ni msela mnabadilishana mawazo mnapeana michongo maisha yanaenda.. Muda huu...
6 Reactions
20 Replies
472 Views
Habari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu. Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya...
48 Reactions
2K Replies
102K Views
Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Kwema wakuu! Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata? Unaweza pia kushare uliitumiaje? Cc: Mshangazi dot com | Demi...
21 Reactions
211 Replies
7K Views
Wakuu naomba mwongozo. Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka. Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu? Je...
9 Reactions
58 Replies
1K Views
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS! Tukio la pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya...
55 Reactions
450 Replies
37K Views
Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka...
4 Reactions
4 Replies
369 Views
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo...
1 Reactions
32 Replies
664 Views
Naona hawa jamaa wako serious kuzuia uchaguzi, na kwa hizi mbinu wanaweza kufanikiwa kama hatutakuwa makini.
5 Reactions
10 Replies
635 Views
Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga...
1 Reactions
5 Replies
339 Views
Kwema bandungu! KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi. Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa? HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na...
4 Reactions
26 Replies
684 Views
Back
Top Bottom