Hii sio sawa kabisa

Hii sio sawa kabisa

xrotcivx

Senior Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
106
Reaction score
90
Nimekaa zangu kwa mamantilie nmeagiza ugali dagaa nakula ghafla namuona pembeni mtoto wa mamantilie anakula bure..tena wali na nyama,Yaani nimeshikwa na hasira hapa na hiki chakula silipii..
 
Kuna ulazima wa serikali kuongeza bei za viroba bila shaka
 
Nimekaa zangu kwa mamantilie nmeagiza ugali dagaa nakula ghafla namuona pembeni mtoto wa mamantilie anakula bure..tena wali na nyama,Yaani nimeshikwa na hasira hapa na hiki chakula silipii..
Fumbo lako gumu kulielewa.Mtoto wa mama ntilie ni nani? Pengine alishalipa bila wewe kumwona.
 
Back
Top Bottom