Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha...
Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka...
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo...
Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga...
Kwema bandungu!
KUPOTEZA KITU kunaumiza sana, kutokuwa nacho kunauma zaidi.
Kwa upande wako unadhani kipi bora, uwe na kitu ukipoteze au usiwe nacho kabisa?
HESHIMA MBELE karibuni kwa maoni na...
Kwa wale wa zoefu wa safari za mabasi tutakua tunaijua vizuri Milima hii Kitonga, Sekenke, Nyoka, Nyangoro, kuwa ni noma yaani mkifika na basi kabla ya kuanza kuupanda au kushuka lazima mpige...
Siku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote.
Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipooza 🍺 na wajumbe wenzake.
Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na...
Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of...
Hello
Hii thread ni special kwa Big brother 2025 imeanza ina oneshwa DSTV chanell 198
Je una hisi ya mwaka uhuu itakuwa more na tulizo zoea kuziangalia?
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa letu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ni siku sana moyo wangu unakwenda mbio sana nionapo coment za cocochanel yaan mapigo ya moyo hujikuta...
, SUMBAWANGA WIZARD TRAINING COLLEGE, P.O.BOX 27, RUKWA.
02/02/2019
Ni chuo bora kwa mwaka 2019 kina mazingira mazuri ya kujifunzia, kuna vifaa vingi vya kumwezesha mwanafunzi ajifunze kwa...
Wapenzi wa movie😅😅😅
Tulishachotwa akili kweli na hawa watengenezaji wa muvi. Hivi lini bongo movie tutafika huku..walishawahi kupata hata Tsh 10Mil???.
Issue Ipo hivi....
Muvi ya Avatar ilitoka...
Producer: Upo aje bro, uko tayari?
Msanii: Ah niko full kabisa, lakini kuna kipengere, hapa sina cash ila kuna mchongo nausikilizia ntakulipa Alhamis.
Producer: wala usihofu, Najua unahaso...
Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI.
Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu...
Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo.
Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini.
Shamba langu litakuwa na mpangilio kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.