JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,.. Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka...
22 Reactions
83 Replies
753 Views
Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako...
7 Reactions
140 Replies
815 Views
Huu utakuwa uzi wa kumbukumbu zangu za kawaida ambazo si rahisi kupotea Hii itakuwa diary yangu humu JamiiForums Simu inaweza kupotea, au vitu nilivyohifadhi vikafutika Lakini humu kumbukumbu...
13 Reactions
164 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika...
2 Reactions
2 Replies
30 Views
Je, unaweza kumpa mpenzi wako password ya simu yako bila uoga wowote?
9 Reactions
80 Replies
372 Views
Gazeti hili huandaliwa na C-C Digital Pro na kuhaririwa na Civilian-Coin. Hutoka Kila baada ya siku Moja.
0 Reactions
2 Replies
53 Views
Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe...
8 Reactions
31 Replies
308 Views
Kama umeniroga awee Siambiwi kwawee Overdose me Your love dey overdose me Paa pee pii papapuu Your love dey overdose me paa pee pii papapuu Overdose Joanah usiuchoshee huu moyo Joanah upoze huu...
12 Reactions
85 Replies
3K Views
Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
2 Reactions
7 Replies
65 Views
Hii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazo
16 Reactions
177 Replies
1K Views
Urembo tumo, Serikalini tumo, Maendeleo yapo juu kuliko Uchagani. Wachaga msijisheue hamuisomi namba kwa Msukuma.
9 Reactions
147 Replies
1K Views
Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
3 Reactions
9 Replies
59 Views
sisi ni mandege wakuu hapa JF hamna wakulinganishwa nasi.ukileta za kuleta tunakudonoa na midomo yetu.
6 Reactions
19 Replies
226 Views
Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane.. Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu. Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto...
60 Reactions
214 Replies
2K Views
Fikiria huyo mgonjwa ndiyo za Tanzania halafu huyo jamaa ni CCM πŸ‘‡
1 Reactions
4 Replies
86 Views
Mtu unayemtongoza?, Bosi wako?, Rafiki mpya? Chawa? Moderator? Au Mimi?🀣
15 Reactions
231 Replies
1K Views
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF, Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile! Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa...
23 Reactions
861 Replies
10K Views
Nimeamua kuja hapa Las Vegas kwa ajili ya mapumziko ya wiki moja lakinaishi nayohitaji kuishi hapa naona kwa hela hii niliyonayo sitoboi wiki Nilikuwa nimeandaa bajet ya dollar 1 million kwa...
9 Reactions
43 Replies
446 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…