JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
11 Reactions
28 Replies
436 Views
Wapendwa wananangu, Leo, nimesurubiwa. Hivyo, msiposikia toka kwangu, ngojeni hadi nitakapofufuka soon. Hilo ndilo neno la 'Mungu' jamaa alisurubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka. Yuko wapi...
1 Reactions
1 Replies
130 Views
Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo. Ila leo kimya baada ya...
1 Reactions
6 Replies
157 Views
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake, Anapenda...
20 Reactions
109 Replies
2K Views
Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta. Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:...... "wewe legendary kama uliweza...
9 Reactions
83 Replies
938 Views
Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo All in all sita wafundisha vyote sawa 😄 Happy Easter Day...
8 Reactions
52 Replies
628 Views
Nchi za mashariki mwa bara la Asia kuna falsafa ya kale sana wanayoiamini kuhusiana na muunganiko na mahusiano ya binadamu. Falsafa hii inaitwa Red String Of Fate (Yīnyuán hóngxiàn). Kwamba, kuna...
108 Reactions
788 Replies
45K Views
Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so...
68 Reactions
11K Replies
602K Views
Wakuu! Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE. Ninaomba...
20 Reactions
803 Replies
53K Views
Ali alipata kidosho kupitia Facebook. Baada ya mazungumzo, walipanga kukutana katika hoteli. Ali, akiwa na shilingi elfu 20, alimlipia msichana teksi shilingi elfu 6. Hotelini, msichana aliagiza...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home. Ilikuwa kicheko na masikitiko. Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa...
8 Reactions
20 Replies
487 Views
Kila mtu achunge mbavu zake, hatuto husika na uvunjifu wa mbavu za mtu, ohoooo
6 Reactions
16 Replies
267 Views
Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
8 Reactions
111 Replies
4K Views
Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao Kwa wanaume, urafiki hujengwa juu ya shughuli za pamoja (shared activities). Mnaweza kuwa mnakutana maskani kucheza...
10 Reactions
81 Replies
1K Views
Moja kwa moja. Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na...
13 Reactions
107 Replies
1K Views
Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
7 Reactions
9 Replies
247 Views
Mfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa. Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story! Hakuna utamu kama...
18 Reactions
453 Replies
4K Views
Au ni roho ya kutu imeuingia fundo? kwangu yaliomo yamo. mpo?????
1 Reactions
5 Replies
102 Views
Meta AI and me with my broke English......
4 Reactions
11 Replies
297 Views
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂 Na lazima u maintain convos muda wote.
13 Reactions
40 Replies
796 Views
Back
Top Bottom