JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hili ni swali la kawaida kabisa. Wakuu, Naomba kuuliza, mnivumilie jumamosi ya leo nina maswali ya kuwauliza kwa hio kila ninapouliza nijibiwe. Umewahi kufananishwa na mtu ambae haufanani nae...
3 Reactions
28 Replies
271 Views
Nime mscreen shot huyu hapa Kaniambia nimtumie details za akaunti zangu anitumie pesa nikamuangalie kombe la dunia Nimeshindwa kulala, natetemeka.😢
5 Reactions
16 Replies
174 Views
Habari ndugu wa jf, hili linaonekana mara nyingi kwa baadhi ya watu walio pitia shule na hata ambao hawakupitia, ila nikwamba walimu wa kiume mashuleni kwenye swala la kuchagua sketi wako vizuri...
3 Reactions
4 Replies
98 Views
Mkuu Financial Analyst, kuna ukweli gani juu ya hili?
6 Reactions
48 Replies
518 Views
Moja kwa moja . Iwe stori au chochote muhimu ili kuwafunza watu kuwa bange si kitu kizuri na ni mbaya kwa akili mwanadamu. Nakumbuka nimewahi kumpoteza rafiki yangu wa utotoni Allaah amrehemu...
1 Reactions
10 Replies
264 Views
Huyu jamaa anawezaje kula makitu kama kenge,je midude ya aina hii huwa aina sumu?,au kuna namna ya upishi wake!.....
1 Reactions
12 Replies
197 Views
Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako. Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja...
1 Reactions
0 Replies
27 Views
Hello members, Kwanza kabisa, mimi sio mwanaume! kuna watu wananifahamu na ninaongea nao mambo mbalimbali ya kiimani na kibiashara! mimi sio malaya wala shoga! kukaa kwangu jf muda mwingi au kila...
90 Reactions
705 Replies
7K Views
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana. Nilikuwa...
5 Reactions
21 Replies
271 Views
Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua...
17 Reactions
75 Replies
831 Views
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni...
28 Reactions
4K Replies
1M Views
Kama unampenda mama usipite uzi huu bila ku like binafsi nampenda sana mama yangu ============= ILOVE YOU MY MOTHER »»»»»»»»»»»»»» Usiku mwema wana jamvi
2 Reactions
13 Replies
155 Views
  • Redirect
Misemo ni mingi sana na kila siku kunakua na misemo mipya kweye mitaa mitandaoni' ila Leo nataka ushare msemo wowote ule ambao umewahi kuuona kwenye bodaboda au gari ambao una kautata kidogo au...
0 Reactions
Replies
Views
Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na...
4 Reactions
19 Replies
249 Views
Baadhi ya member"humu jukwaani wana tabia ya kufungua uzi kwa member mwenzie et anampenda sana? utampendaje mtu hujawahi hata kumuona mtu unaefungulia uzi unampenda hata picha ya avatar sio...
3 Reactions
16 Replies
121 Views
Baada ya kutoka German kuja kusalimu wazee Tanzania nikiwa nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mwana-jf akiperuzi. Nilimuangalia nikatafakari sana. Huyu atakuwa nani...
19 Reactions
144 Replies
2K Views
Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa...
2 Reactions
15 Replies
151 Views
Wakuu nataka nipate watu kumi tu tuanzishe uzi wa memes tu tuwe tunacheka kuongeza siku Nikipata watu kumi tu tuta anzisha uzi wa vichekesho tutakua tunatupia memes kila siku na member humu wenye...
2 Reactions
7 Replies
102 Views
Back
Top Bottom