JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ase ban inauma sana mod just help me
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Tometoka mbali sana aiseee Nakumbuka nilivyokuwa sekondari ilikuwa nikifanya kosa sichapwi kijinga jinga! Nilikuwa najitetea kivyovyote vile nisiguswe hahaahaaaa. Walimu waligundua hiko kitu...
1 Reactions
8 Replies
475 Views
Nahitaji single mother miaka 32_50
0 Reactions
18 Replies
778 Views
Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini. Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa? Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni...
0 Reactions
147 Replies
8K Views
Habari za wakati huu. Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto? Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimekaa sana Tabata barakuda Takribani miaka mi 5 ivi Ila nimehama mwaka jana mwanzoni Nimehamia GONGO LA MBOTO ila kwa sasa napaona Pachungu. Chanzo cha kuhama tabata ni kukimbia bar na malaya...
17 Reactions
67 Replies
9K Views
Hey....my dear love..... Angel Nylon you came into my life like a blessing you stay like a forever gift from god you loved me like everything like my everything and I loved you I feel the...
24 Reactions
162 Replies
5K Views
hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
2 Reactions
3 Replies
669 Views
Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha...
1 Reactions
3 Replies
199 Views
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
10 Reactions
139 Replies
30K Views
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea...
1 Reactions
9 Replies
746 Views
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua 1.bado tu haujaota tenaa?? 2.Na saizi ana deal gani?? 3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii pesa kama ni wewe inaishia kwenye nini na nini
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi kwa sasa ni babu,mara nyingi hupenda kutembea kwa miguu,umbali mrefu, Sasa njiani huwa nakutana na wanafunzi ambao hunifatilisha navyotembea huku wananiambia we babu shikamoo,basi naitika...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi. Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Siku iko aje.... Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi...
3 Reactions
11 Replies
797 Views
Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii...
0 Reactions
4 Replies
352 Views
Nazungumzia kama vile umegusa upupu au mmea au mdudu yeyote anayewasha halafu ukaamua kuwa katili kwa kutojiwasha. Nini kitakutokea?!!! Karibuni kwa michango🙏🙏🙏
2 Reactions
12 Replies
473 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…