JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

SANAMU YA DHAHABU YA RAIS TRUMP KUWEKWA IRAN KWA HESHIMA YAKE! . Wafuasi sugu wa rais trump wanapendekeza sanamu ya dhahabu ya Trump iwekwe mjini Tehran siku chache baada ya "kulikomboa" taifa hilo kutoka kwa utawala wa Kiislamu, ikiwa ni ishara ya amani mpya kati ya Washington na Iran. #MAGA HARDLINERS propose a GOLDEN STATUE of Trump be placed in Tehran days after “liberating” the country from the Islamic regime, as a symbol of renewed peace between Washington and Iran.
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, likidai kuwa taifa la Afrika Kusini limetoa orodha mpya ya nchi 22 za Afrika ambazo raia wake wanaruhusiwa kuingia nchini humo bila visa kwa madhumuni ya utalii, biashara au ziara fupi. Chapisho hilo linaeleza kuwa muda unaoruhusiwa wa kukaa nchini Afrika Kusini ni kati ya siku 30 na 90, kutegemeana na uraia wa msafiri na aina ya pasipoti anayotumia. Aidha, linadai kuwa raia wa nchi hizo wanaweza kusafiri kwenda Afrika Kusini bila kuomba visa kabla ya safari, mradi ziara yao iwe ndani ya muda unaoruhusiwa na watimize masharti ya kuingia nchini humo. kando na hilo chapisho pia limesambazwa kupitia kiungo hiki,hiki Je ni upi uhalisia wa...
Tunachokijua Claim A viral TikTok video posted by Comedian HON DR T-Amale claims that the Uganda Communications Commission (UCC) and another Organization - TCCU have shut down the TikTok account of National Unity Platform (NUP) President Robert Kyagulanyi Ssentamu (Bobi Wine) for allegedly spreading hate speech. The video also claims that other NUP-affiliated accounts, including @HalfLondon, would also be closed at 6:00AM today , the 17th of July citing the same reason. What we know •A review of Bobi Wine's Official Tiktok account shows that it remains active and publicly accessible, with over 3.4 million followers. There is no indication that the account has been suspended or closed. •The claim also names @HalfLondon, a prominent...
Msemo huu kuwa ulaji wa Karoti unaongeza uoni wakati wa usiku uekuwa maarfu sana miongoni mwa watu lakini je uhalisia ni upi? Makala iliyochapishwa na Medical News Today inataja faida mbalimali zitokanaz0 na ulaji wa karoti kutokana na wingi wa virutubisho ilivyo navyo. “Karoti zina vitamini, madini na viambata vya kuzuia uharibifu wa seli (antioxidants). Kula karoti kama sehemu ya lishe bora husaidia kuimarisha kinga ya mwili, uponaji wa vidonda, afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na inaweza kupunguza hatari ya baadhi ya saratani.” Kwanini karoti inatajwa kuwa nzuri kwa afya ya macho? Karoti zina beta-carotene, kirutubisho ambacho hubadilishwa na mwili kuwa vitamini A. Vitamini A ni muhimu kwa afya ya macho na husaidia kuona...
Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030. Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, umebaini kuwa madai hayo ni ya kupotosha. Hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa Ridhiwani Kikwete amewahi kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2030 au kusema kuwa atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi nchini Tanzania, uchaguzi mkuu ulifanyika Oktoba 2025, na uchaguzi mkuu unaofuata unatarajiwa kufanyika mwaka 2030. Hata hivyo, mchakato rasmi wa kuwapata viongozi wanaogombea nyadhifa mbalimbali hutangazwa na INEC...
Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kauli ya kutaka BBC Swahili ifungiwe kufanya kazi nchini Tanzania. Chapisho hilo, ambalo limesambazwa kupitia Facebook, linaambatana na nukuu isemayo: "Baada ya BBC Swahili kuchapisha video yenye habari ya Tundu Lissu kuhoji demokrasia ya Tanzania, Kikwete atoa tamko kuu kwa TCRA kuifungia BBC Swahili." Hata hivyo, uchunguzi wa taarifa mbalimbali za umma, ikiwemo hotuba, mahojiano na taarifa rasmi zilizochapishwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, haukubaini...
Kumekuwapo na madai mengi kuhusu radi ambayo mengine si ya kweli, yafuatayo ni madai 10 pamoja na uhalisia wake. Dhana Potofu 1: Radi haipigi sehemu ileile mara mbili. Uhalisia: Radi inaweza kupiga sehemu ileile mara nyingi, hasa ikiwa ni eneo lenye kitu kirefu, chenye ncha kali na kilichojitenga. Kwa mfano, jengo la Empire State Building hupigwa na radi takribani mara 25 kwa mwaka, na wakati mwingine zaidi ya mara 10 ndani ya dhoruba moja. Dhana Potofu 2: Radi hupiga vitu virefu pekee. Uhalisia: Radi inaweza kupiga popote. Inaweza kupiga ardhi, gari, maegesho ya magari au sehemu nyingine, si lazima kitu kiwe kirefu zaidi. Dhana Potofu 3: Ukiwa nje wakati wa radi, ni salama kujikinga chini ya mti. Uhalia: Hii ni mojawapo ya sehemu...
Nimekutana na hii video Insta wanasema, "wanachadema haujawapatia majibu ya million 900 zilipoenda kwa ujasiri Unakuja mbele za watu eti unaomba mil 30 kwaajili yako zikupe motisha, motisha gani akati umeshawaibia wanachadema mil 900 na hutaki kusema zilipo Kwa tunavokufahamu wewe ingekua sio kweli lazima ungesema kuwa sio kweli ila badala yake unafukuza wote wanaohoji ili uwanyamazishe, wewe na mnyika wote ni wezi wakubwa"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…