JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Mdau Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde? Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa tukio hilo limetokea Afrika. Kipande cha video ambacho kimeibua maswali mengi kwa waliyoiona kuhoji uhalisia wake. Tushirikishe vigezo ama nyenzo ulizotumia kubaini uhalisia.
Katika kile kinachoonekana kama tukio la kihistoria na lisilotarajiwa katika ulimwengu wa Kiislamu, taarifa kutoka Mashariki ya Kati zinaeleza kuwa mwana wa kifalme kutoka familia ya kifalme ya Kuwait, anayefahamika kwa jina la Prince Abdullah Al-Sabah, ametangaza hadharani kuwa ameokoka na sasa ni mfuasi wa Yesu Kristo. Katika faili la sauti lililorushwa kupitia kituo cha televisheni ya Kikristo cha Al-Haqiqa, kinachorusha matangazo kwa lugha ya Kiarabu, sauti inayodaiwa kuwa ya Prince Abdullah inasikika akitangaza kwa ujasiri kuwa amemkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake. Katika ujumbe huo wa sauti, Prince Abdullah anasema kwa uthabiti kwamba: “Iwapo nitauliwa kwa sababu ya rekodi hii ninayozungumzia wokovu...
Baada ya ukimya wa muda mrefu na msimamo wa kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa John Heche ameonesha mwelekeo mpya. Kupitia mahojiano maalum, Heche amekiri kuwa harakati za “No Reform No Election” zimepoteza mwelekeo na hazina maana tena katika hali ya sasa ya kisiasa. Amesema yuko tayari kushiriki uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa ni muhimu kujipanga ndani ya mfumo uliopo ili kuleta mabadiliko ya kweli. 🎧 Sikiliza mahojiano kamili hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…