Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na anawashauri wanaume waache kufanya mazoezi kwa madai kwamba wanaweza kuugua maumivu ya mgongo.
Je ni upi uhalisia chapisho hilo.