Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mandonga alishinda tena pambano lake huko Nairobi Kenya kwa kumpiga Keneth Lukwamuzi, juzi Jumapili. Nimeona nipost hii habari japo kwa kuchelewa ikizingatiwa jamaa alikuwa anaiwakilisha nchi...
3 Reactions
5 Replies
620 Views
Tazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon. Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kupitia Wasafi fm namsikia Paul mkai mtangazaji wa kipindi Cha sport arena Cha asbh hii amesema kiingilio n bure kabisaaaa. Shime wana dsm nendeni mkaujaze uwanja na mkashangilie.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
10 Reactions
65 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia...
11 Reactions
90 Replies
5K Views
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Twenzetu kwa Mkapa tukaishangilie Taifa stars Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
12 Replies
806 Views
Nashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Bondia wa Kitanzania Hassan Mwakinyo anatarajiwa kuingia ulingoni tarehe 23 Aprili 2023 katika Uwanja wa Jamhuri huko Dodoma kupambana na mpinzani wake kutoka Kongo, Kuvesa Katembo. Pambano hilo...
1 Reactions
0 Replies
948 Views
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya Taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo: 1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika...
25 Reactions
173 Replies
8K Views
Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
1 Reactions
5 Replies
641 Views
Joshua anayetarajia kuzichapa na Bondia Jermaine Franklin Aprili 1, 2023 ndani ya O2 Arena, jijini London ametoa kauli hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya ulingoni kwa muda mrefu. Bingwa huyo...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Mungu awatie nguvu wapambanaji wenzangu katika kutafuta mkate wa kila siku hakika amani ya bwana iwe nanyi. Naaam twende kwenye lengo kuu lakuandika huu uzi maridhawa kabisa katika sekta yetu...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Mafanikio ni nini? Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement. Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya salamu Sina budi kwenda moja kwa moja kwenye point ya kichwa Cha habari hapo juu. Baada ya sub ya kutoka Mudathiri nakuingia feisal salumu, hakika bwana mdogo kawa mzito hata kwenye...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Wachambuzi ashakumu si matusi, twambieni The cranes watakuwa nyumbani dhidi ya taifa stars,kwanini mechi imepelekwa Misri? Kuna shida gani Uganda?
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku. Taribo alijipatia...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia. Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka. KABLA...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
"Huu ni Mwaka wa Tano na mchakato wa mabadiliko haujaisha na Bahati mbaya kuna watu ndani ya Simba wanakwamisha huu mchakato, angekuwa mwekezaji mwingine ambaye hana mapenzi na Simba siku nyingi...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa. Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na...
2 Reactions
5 Replies
503 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…