Kwanini Taifa stars na The Cranes watacheza mechi yao Ismailia, Misri?

Wachambuzi ashakumu si matusi, twambieni The cranes watakuwa nyumbani dhidi ya taifa stars,kwanini mechi imepelekwa Misri?

Kuna shida gani Uganda?
Hili swali na mimi nimekuwa najiuliza bila kupata majibu. Mara naskia ni kambi mara sijui mechi. Ila hii mechi tunaenda kufungwa.
 
Itakuwa uwanja wao hauna hadhi ya kuchezea mechi za CAF FIFA KWA level ya timu za Taifa
Jibu lipo hapa.

Kwa kuongezea ni kwamba wao Uganda (wenye haki ya uenyeji wa mechi hiyo) wameamua kuipeleka mechi hiyo nchini Misri katika uwanja uliotajwa.

Wangeweza kuipeleka Benjamin Mkapa nchini Tanzania, wangeweza kuipeleka Cape Verde, Mauritania, Benin, Lesotho au Somalia. (Ili mradi tu katika nchi hizo kuna uwanja unaofaa kikanuni kutumika kwa mashindano hayo)
 
East African Community ipo kwenye maneno zaidi. Wameshindwa kuipeleka hata Rwanda au na kwenyewe hawana kiwanja chenye hadhi?

Na inakuwaje nchi na rasilimali zake zote inashindwa kuhudumia kiwanja kimoja cha michezo na kuhakikisha kinabaki kwenye standards zinazotakiwa?

Najaribu tu kupanua huu mjadala.
 
Uwanja wa Timu ya Taifa ya Uganda umepoteza sifa za CAF kutoka na miundombinu mibovu ya kufika uwanjani (Barabara)

Barabara imekuwa na changamoto sana imepelekea CAF kuzuia kutumika uwanja huo mpaka pale watakaporekebisha barabara hizo.

CAF wameongeza vigezo vya Ubora na Sifa za Viwanja vitakavyotumika kwa mashindano husika ya CAF kwa East Africa ni Uwanja wa Benjamin Mkapa pekee uliokidhi viwango vya CAF japo wameambiwa wafanye marekebisho baadhi ya maeneo.

Chama cha soka walienda Rwanda na Kenya ila CAF iliwaambia viwanja hvyo havina sifa za kutumika kwenye mashindo ya CAF, waganda wakaamua kupeleka Misri game yao.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Numekuelewa sana
 
Hii si kweli. Unadanganya ili ufaidike na nini? Mechi ya marudiano ya Rwanda vs Benin ya March 27 inaenda kufanyikia Huye Stadium ulioko Rwanda.

Mechi ingefanyikia Rwanda, ingekuwa rahisi Watanzania na Waganda kuhudhuria. Pride ya utaifa ni tatizo Africa. Waganda hawakutaka kuonekana wenye upungufu mbele ya Wanyarwanda.
 
Hii ni jukwaa la michezo sio la mashabiki wa timu fulan,Tulifanya mahojiano na muhandishi wa Habari za Michezo wa Uganda na hayo ndo yalikuwa maelezo yake na kama umewahi kwenda Uganda na kufika uwanja wa timu ya taifa ya Uganda nadhani usengeweza kuandika ulichoandika
 
Umemuelewa alichomaamisha..

Kamaanisha uwanja wa rwanda utatumika kwenye game ya rwanda vs benin kama sikosei, kama utatumika means CAF wameuruhusu. Hivyo basi uganda wangepeleka game yao hapo rwanda ili watanzania na waganda iwe rahisi kuona game yao kuliko huko misri, ila anahisi bifu za kitaifa baina ya rwanda na uganda imepelekea mechi waipeleke huko misri, na sio kwamba eti afrika mashariki uwanja ni mmoja tu wa LUPASO.
 
Inabidi kama mwandishi uwe unajiridhisha na taarifa unazopewa na source moja. Mimi nimekupa taarifa nyingine kuwa mechi ya marudiano ya Rwanda vs Benin ya March 27 inaenda kufanyikia Huye Stadium ulioko Rwanda.
 
East African Community ipo kwenye maneno zaidi. Wameshindwa kuipeleka hata Rwanda au na kwenyewe hawana kiwanja chenye hadhi?

Na inakuwaje nchi na rasilimali zake zote inashindwa kuhudumia kiwanja kimoja cha michezo na kuhakikisha kinabaki kwenye standards zinazotakiwa?

Najaribu tu kupanua huu mjadala.
Kwa Afrika hilo ni jambo la kawaida sana labda kama hujazaliwa na kuishi katika bara hili ndio utashangaa.
 
Nchi ya Uganda miundombinu yake ni mibovu sana kama ilivyokuwa Tanzania ya awamu ya 3, na 4, na Tanzania tunarudi miaka kumi Nyuma, Miundombinu yetu haifanyiwi marekebisho baraba zinaanza kuchoka, Uwanja wa mkapa umechakaa kuta zimebadilika rangi nyasi zimechoka.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umemuelewa alichomaamisha..

Kamaanisha uwanja wa rwanda utatumika kwenye game ya rwanda vs benin kama sikosei, kama utatumika means CAF wameuruhusu. Hivyo basi uganda wangepeleka game yao hapo rwanda ili watanzania na waganda iwe rahisi kuona game yao kuliko huko misri, ila anahisi bifu za kitaifa baina ya rwanda na uganda imepelekea mechi waipeleke huko misri, na sio kwamba eti afrika mashariki uwanja ni mmoja tu wa LUPASO.
Niliona pia kama ana motive fulani nyuma ya taarifa aliyoleta ndiyo maana niliamua kwenda kujiridhisha na taarifa hiyo ya Rwanda.
 
Kwa Afrika hilo ni jambo la kawaida sana labda kama hujazaliwa na kuishi katika bara hili ndio utashangaa.
Inasikitisha sana. Mambo ya kawaida kama hayo yanatushinda, nikionaga hivyo natishika sana na ufanisi wetu kwenye yale mazito tusiyoyaona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom