Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu...
INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩
Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo...
Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati wenzake wanarudi katika timu zao yeye anarudi mtaani......."
Kuna hesabu dogo alipigiwa, na ndo hizi mbanga zimemfikisha hapa
Nipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji.
Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL.
Hii wiki ya International break...
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.
Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
Arsenal ipo katika mazungumzo na Bukayo Saka kuhusu maboresho ya mkataba mpya ikidaiwa kuwa unaweza kumfanya apokee Pauni Milioni 15 (Tsh. Bilioni 43) kwa Mwaka ikiwa ni malipo ya mshahara na...
Mechi ya kwanza tuliicheza kibabe sana... hadi tukapata matokeo mazuri...
Sijui ni nani akaona wivu na mwenendo mzuri wa Stars hadi akashauri tuwarudishe kikosini wachezaji wenye mikosi na Nuksi...
Watanzania,
Bado tuna safari ndefu mno ya kuyafikia mafanikio ya kisoka katika timu yetu ya Taifa. Binafsi naona bado mazonge zonge mengi sana yanaikumba timu yetu. Kikubwa zaidi nachokiona ni...
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu...
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.
Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?
Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point...
Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha.
Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta...
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za...
Ndani ya dk 90 Kocha bora anapimwa kwa upangaji wa kikosi,kusoma vzri mbinu za timu pinzani na kufanya mabadiliko sahihi( Substitution).
Kocha wetu alianza kulikoroga kwenye kupanga kikosi cha...
Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile?
Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye...
Wakuu,
Mchezo dhidi ya Uganda kesho ni mgumu mno. Uganda wamekuwa na trend ya kutufunga mfululizo na yumkini hata mchezo uliopita hawakutegemea surprises za kocha wetu mpya na hawakutegemea...
Sikupata wasaa wa kuangalia game ya marudiano ya Zambia vs Lesotho katika mashindano ya kutafuta kufuzu AFCON. Katika mechi hiyo Zambia walishinda 2-0.
Katika mechi hiyo, kiungo wa Simba, Clatous...
Anaandia haji manara [emoji3578]
Ajira Ajira Ajira
Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii
1. Box to Box
2. Kukabia High-line
3. Half-Space
4. Zonal Marking
5...
Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima.
======
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati...
Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F...
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.