Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,705
- 4,739
Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
Na imekuwa kweliKuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumilia karibu sana
Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
Sio uchawi wala tawile ndugu ni mpira tu unaonekana unavyopigwa kabla na wakati wa mechi. Sie tuwekeze tu katika propaganda