Kuwapa makocha wa kigeni timu ya taifa ni kuhusudu uzungu na kudharau makocha wetu wazawa ndani ya taifa letu la Tanzania

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,738
Tazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon.

Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze kuleta makocha wakizungu ndani ya Taifa stars hakuna hatua yenye mafanikio tuliyoipiga zaidi yakupiga hatua mbili mbele nakurudi hatua tano nyuma Kisha tunajipigia makofi mengi nakuanza kujipongeza.

Hii nchi kwa Sasa Ina makocha wengi wazawa na Tena Kuna makocha wengine wameichezea taifa stars wanajua Nini maana ya uzalendo ndani ya taifa lao.

Makocha Kama juma mgunda, Amri kiemba, Minziro n.k na wengine ambao tunaona kabisa hawa hata tukiwapa timu kutokana na Mambo makubwa waliyoyafanya ndani ya taifa letu hawawezi kutuangusha.

Hii dunia imebadilika Sasa ni tofauti na zamani tukiamini kuwa white people wanajua wanajua kila kitu, kumbe ni hapana Bali kuwa na imani potofu tu hata makocha wetu wazawa wanaweza kabisa kuongoza timu endapo tutawaamini nakuwapa timu yetu ya taifa stars.

Makocha wazawa wanawajua wachezaji wazuri ndani ya nchi kwa maana wao wapo humu humu ndani ya ligi yetu ni tofauti kabisa na hawa makocha wakigeni wanapokuja nakukabidhiwa timu, wanaanza kupangiwa na kikosi Cha kuwaita wachezaji Sasa hiyo hatuwezi kupiga hatua mbele hata Kama akija gadiola kuifundisha taifa stars.

My take ifikie hatua tuachane na kuhusudu uzungu tuthamini vya kwetu Kama nchi zingine zilizoendelea kimpira kwa kuthamini nakuwaamini makocha wazawa nakuwapa timu zao za taifa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaka tukubali tu kwamba wenzetu wametuacha mbali katika kwenye soka na utaalam wake, kwa mfano timu kama Yanga leo mkabidhi Minziro halafu uone kama itatoboa.

Simba ya Mgunda kuna muda unaona kabisa ufundi unahitajika kupata best patterns ila inashindikana ufundi unapungua, Kwa sasa hebu angalia best combination ya Saidoo na Chama, angalia wanavyo exchange.... angali Patterns za Mzamiru na Kanoute wanavyotembea.. hadi Kanoute anatakata kwa mishuti ya mawee.. angalie central defeders yale makosa unayaona leo? angalia show me the way na Shaba wanavyotembea kushoto na kulia.

Sasa mechi ya Raja pamoja na mbili za robo fainali iangalie Simba kwa umakini afu utahakikisha nina maana gani.
 
kaka tukubali tu kwamba wenzetu wametuacha mbali katika kwenye soka na utaalam wake, kwa mfano timu kama Yanga leo mkabidhi Minziro afu uone kama itatoboa.

Simba ya Mgunda kuna muda unaona kabisa ufundi unahitajika kupata best patterns ila inashindikana ufundi unapungua, Kwa sasa hebu angalia best combination ya Saidoo na Chama, angalia wanavyo exchange.... angali Patterns za Mzamiru na Kanoute wanavyotembea.. hadi Kanoute anatakata kwa mishuti ya mawee.. angalie central defeders yale makosa unayaona leo? angalia show me the way na Shaba wanavyotembea kushoto na kulia.

Sasa mechi ya Raja pamoja na mbili za robo fainali iangalie Simba kwa umakini afu utahakikisha nina maana gani.
Upo sahihi kwa hicho unachokizungumza mkuu

Lakini pointi yangu kubwa nimegusa timu ya taifa naona kabisa makocha wetu wanaweza
Maana toka tumewakabidhi hawa wazungu hakuna walichokifanya hebu tujaribu upande wa pili wa shilingi tuwape wazawa tuone wataleta impact gani katika kulipambania taifa.

Na ndiyo maana nikagusa kwenye mataifa ya wenzetu yaliyoendelea kimpira yanawatumia wazawa
Mbona wanapiga hatua tofauti kabisa na sisi tunaonikongoja na hawa wazungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata mini nimekuwa najiuliza mkataba wa kocha wa taifa ukoje kwani timu ya taifa huokoteza wachezaji wanaotayarishwa na timu nyingine zenye makocha wao. Kazi ya kocha wa timu ya taifa ni kuwapanga na kuwasindikiza tu wachezaji hao lakini hawafundishi chochote. Kwa nini tulete mtu kutoka nje kufanya kazi ndogo kama hiyo?
 
Kosa naliona lipo kwetu, Makocha wote wa kigeni wakifika hapa wanapewa maelekezo na TFF, Kwa mfano hakuna kocha duniani atamchagua mchezaji timu ya Taifa ambaye kwa miezi 3 mfululizo hajacheza game yoyote ya ushindani - hayupo.

Wa kulaumu hapa kwa peformance ya timu yetu ya Taifa ni TFF, iwape makocha wetu uwezo wa kuchagua wachezaji wanaowataka, mfumo na mbinu as long as wameaminiwa na Taifa.

Sidhani Nabi ama Roberto wanaingiwa na Uongozi wa Club zao kwenye team selection, mfumo na mbinu - na ndiyo maana timu hizi zinafanya vizuri ndani na nje ya nchi.
 
Samatta akistaafu ndio anastahili kuwa kocha mzawa. Makocha wetu wazawa pamoja na kuwa wana leseni lakini wanamis vitu. Kwanza wakiwa wachezaji hawajacheza kwenye klabu zinazoendeshwa kisasa pia wakiwa makocha hawajafundisha klabu zinazoendeshwa kisasa zaidi.

Kwa samatta angalau anafaa sababu ana vitu vingi alivyojifunza akiwa mchezaji kwenye klabu zilizobora.
 
Hata mini nimekuwa najiuliza mkataba wa kocha wa taifa ukoje kwani timu ya taifa huokoteza wachezaji wanaotayarishwa na timu nyingine zenye makocha wao. Kazi ya kocha wa timu ya taifa ni kuwapanga na kuwasindikiza tu wachezaji hao lakini hawafundishi chochote. Kwa nini tulete mtu kutoka nje kufanya kazi ndogo kama hiyo?
Upo sahihi mkuu maana ukiangalia kocha wa taifa stars hakai na wachezaji kwa muda mrefu

Hiyo ni kazi ambayo Juma Mgunda na Minziro wakipewa timu hakika wanaweza na wataifanya kazi yao kwa weledi maana wapo humu humu ndani ya nchi na wachezaji wanawajua vizuri tu.

Bado nakazia katika hoja yangu kuwa wazawa wapewe timu siyo hao wageni wanaokuja kuzuga na kutafuna mpunga wa Taifa Stars

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kosa naliona lipo kwetu, Makocha wote wa kigeni wakifika hapa wanapewa maelekezo na TFF, Kwa mfano hakuna kocha duniani atamchagua mchezaji timu ya Taifa ambaye kwa miezi 3 mfululizo hajacheza game yoyote ya ushindani - hayupo.

Wa kulaumu hapa kwa peformance ya timu yetu ya Taifa ni TFF, iwape makocha wetu uwezo wa kuchagua wachezaji wanaowataka, mfumo na mbinu as long as wameaminiwa na Taifa.

Sidhani Nabi ama Roberto wanaingiwa na Uongozi wa Club zao kwenye team selection, mfumo na mbinu - na ndiyo maana timu hizi zinafanya vizuri ndani na nje ya nchi.
Upo sahihi mkuu hapo tunapata pointi nyingine kuwa pale TFF kuna madudu sana na ndiyo yanayorudisha nyuma mpira wetu.

Hilo sakata la Feisal limekaa kisiasa sana, kuna dubwasha kubwa lipo nyuma yake sasa kwa namna hii mpira wetu hauwezi kupiga hatua kabisa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Samatta akistaafu ndio anastahili kuwa kocha mzawa. Makocha wetu wazawa pamoja na kuwa wana leseni lakini wanamis vitu. Kwanza wakiwa wachezaji hawajacheza kwenye klabu zinazoendeshwa kisasa pia wakiwa makocha hawajafundisha klabu zinazoendeshwa kisasa zaidi.

Kwa samatta angalau anafaa sababu ana vitu vingi alivyojifunza akiwa mchezaji kwenye klabu zilizobora.
Sawa lakini pia tuangalie nani anayetoa nafasi kwa makocha kushika timu ya Taifa???

Tupigane kwanza na janja janja zinazoendelea katika uongozi wa mamlaka husika.

Sasa Kuna vijana wadogo Kama Amri kiemba anapambana huku na huko ili kupata elimu ya ukocha nafikiri hawa ndiyo vijana tunaowahitaji katika timu yetu ya taifa stars.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon.

Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze kuleta makocha wakizungu ndani ya Taifa stars hakuna hatua yenye mafanikio tuliyoipiga zaidi yakupiga hatua mbili mbele nakurudi hatua tano nyuma Kisha tunajipigia makofi mengi nakuanza kujipongeza.

Hii nchi kwa Sasa Ina makocha wengi wazawa na Tena Kuna makocha wengine wameichezea taifa stars wanajua Nini maana ya uzalendo ndani ya taifa lao.

Makocha Kama juma mgunda, Amri kiemba, Minziro n.k na wengine ambao tunaona kabisa hawa hata tukiwapa timu kutokana na Mambo makubwa waliyoyafanya ndani ya taifa letu hawawezi kutuangusha.

Hii dunia imebadilika Sasa ni tofauti na zamani tukiamini kuwa white people wanajua wanajua kila kitu, kumbe ni hapana Bali kuwa na imani potofu tu hata makocha wetu wazawa wanaweza kabisa kuongoza timu endapo tutawaamini nakuwapa timu yetu ya taifa stars.

Makocha wazawa wanawajua wachezaji wazuri ndani ya nchi kwa maana wao wapo humu humu ndani ya ligi yetu ni tofauti kabisa na hawa makocha wakigeni wanapokuja nakukabidhiwa timu, wanaanza kupangiwa na kikosi Cha kuwaita wachezaji Sasa hiyo hatuwezi kupiga hatua mbele hata Kama akija gadiola kuifundisha taifa stars.

My take ifikie hatua tuachane na kuhusudu uzungu tuthamini vya kwetu Kama nchi zingine zilizoendelea kimpira kwa kuthamini nakuwaamini makocha wazawa nakuwapa timu zao za taifa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuwape kina juma mgunda?
 
Tumpe timu Mgunda
 
Cameroon ni suala muda tu Song anapigwa chini soon
 
Back
Top Bottom