Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni...
Nani ambaye hajatazama mchezo wa horoya dhidi ya simba, horoya wakiwa nyumbani??
Kosa kosa ya magoli laiti Kama simba wangekuwa na washambulizi hatari Kama fistoni kalala mayele au hata Clement...
AHMED: TUTAPAMBANA HATA TUKIFUNGWE BASI ZIWE CHACHE.
"Mechi Hii Tunarelax Vya Kutosha Na Tunawaambia Mashabiki Zetu Wasiume Meno Hakuna Presha Yoyote Sababu Tumeshafuzu Tuko Robo Finali. Ni Mechi...
Simba ikishindwa kupata matokeo uwanjani bila sababu yeyote utasikia shabiki anaanza kuwalaumu Mara Bocco Mara Mzamiru,nyoni na Onyango.
Kwa siku za nyuma ilikua Wawa pia.
Siku za hivi karibuni...
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka Morocco.
Ikumbukwe hapo jumamosi tuna jambo letu hapo nchini Tanzania [emoji1241].
Kile kipigo tulichotoa kwa wale...
Feisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA...
Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekabidhi Bendera ya Taifa kwa Timu ya Fountain Gate inayokwenda nchini Afrika Kusini kwenye Mashindano ya Soka la Wanawake...
Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza.
Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na...
Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke...
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini...
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu,
Tumebadili makocha lakini wapi
Tumebadili wachezaji lakini wapi
Labda tubadili jina halafu tuone.
Nb: hii timu icheze kimya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi...
Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani
Na Kwa jinsi...
Tulionya tangu awali na tunaendelea kuonya tena kwamba , mashabiki wajinga wanaoingia uwanjani na Picha ya Rais wakatazwe ,
Hii ni kwa sababu Rais wa Nchi hii hakuwahi kuwa Mwanasoka na wala...
Timu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi.
Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu...
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu"
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Yanga wameondoka kwenda Congo wakiwa wanajiamini [emoji817], wanasema wanakwenda kumpiga Mazembe huko huko kwao, wanajiamini kuwa kwa sababu walimpiga mabao 3 kwa Mkapa, basi wanakwenda kumpiga...
Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa.
Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa...
Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff.
maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.