Ushauri kwa TFF

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff.

maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao katika mashindano mbalimbali. Leo natoa ushauri tu wa nini kifanyike katika timu yetu ya taifa.

Niwaombe wakati umefika wazawa wenye uzalendo na wazoefu wapatiwe timu yetu ya taifa. Waswahili wanasema mchawi mpe mwanao akulelee tengenezeni mfumo wa kuamini we can do much better from within kuliko hao wakutoka nje.

Watumieni watu wenye weledi kufanya selection ya wachezaji napia waaminishwe wanaweza kwakua wakati huu Tz inawachezaji wengi na wazuri sana maoni yangu kocha mkuu mpeni Mecky mexime na julio.pia mtu kama matola na kally ongala wanaweza kuwa na msaada kuleta confidence ktk tm(mfano tu) nachomaanisha lazima bench la ufundi liwe na watu wanaoweza kuadd value katika timu.

Hivyo namalizia kwa kuwaomba mlitazame upya kwa umakini swala la benchi la ufundi ktk timu yetu ya taifa.
 
salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff.
maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania akini swala la benchi la ufundi ktk timu yetu ya taifa.

Kally Ongala si Mtanzania alichukua Uraia wa mama yake labda kama aliomba na kupata Uraia wa Tanzania hivi karibuni.
 
hao wabongo wewe wanayeyusha tu huko.ila kwa sasa hapa tz wapo wengi wenye weledi hivyo national team legends kwa ushirikiano na tff pamoja na wizara tena pale yupo Ally mayay wanaweza kufanya jambo zuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom