Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea...
Bila shaka
18. Notingham forest
19. Bounermouth
20. Southampton
Hawa watashuka daraja
Kwa Notingham forest anaweza akadumbukia everton asipobadilika mapema. Na itakuwa kwa mara ya kwanza klabu...
Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika.
Kumekuwa na...
... Onyango klabu bingwa msimu huu !
[emoji849] Kasababisha penati vs Horoya
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
Amesababisha perfect hat-trick ya penati...
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta.
Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha...
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇
Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza...
Majibu ya Dewji kuhusu kuangalia mechi za Yanga, kumuona Mshambuliaji Fiston Mayele na pengine kama anatamani asajiliwe Simba.
"Kwa bahati mbaya niwe mkweli mimi sifuatilii sana mechi za Yanga "...
Timu ya Taifa ya Kandanda ya Zambia iliyojulikana wakati huo kama KK 11, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi yao na Italia ndani ya Uwanja wa Gwangju Mudeung huko Gwangju, Korea Kusini...
Mkataba huo mpya utakuwa na maboresho makubwa kwenye mshahara wa staa huyo, kutoka kiwango anacholipwa kwa sasa cha Pauni 70,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye...
Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al...
Bayern munich kila baada ya dikaka kumi anatumbukiza mpira wavuni
Manchester city ana shughuli ya kufanya jumanne la sivyo ataabika
Mpaka sasa dkk ya 50 zishafika nne
Kipara mtihani huo
Chei Chei.....
Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5...
Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji.
Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa...
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote...
Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba...
"Why does your mother still live with you?
"Why don't you build her a house?"
Cristiano Ronaldo replies :
"My mother raised me and she dedicated her life for me. She would go to sleep hungry...
Baada ya viwiki kadhaa wadau wa mpira kuukosa uhondo wa ligi mbali mbali kama laliga, NBC ligi 1 na nyinginezo duniani, hatimaye burudani zimerejea EPL on air leo Mancity vs liverpool yaani ni...
Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo.
The Football...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.