January Makamba kuzichapa na Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi Waziri wa Nishati January Makamba atazichapa dhidi ya Mbunge Joseph Musukuma.

Akizungumza kuhusu pambano hilo Promota wa Pambano hilo ni mbunge Sophia Mwakagenda amebainisha kuwa Lengo la pambano hilo ni Kuchangisha pesa za kusaidia kununua taulo za kike, kwa Wanafunzi wanawake wa nyanda za juu Kusini.

Pambano hilo kubwa litapigwa April 4, 2023 jijini katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
 
Anaandika KENGE,

April 4,Uwanja wa jamhuri jijini Dodoma inatarajiwa kufanyika pambano kubwa la ndodi kati ya Bondia Mtanzania HASSAN MWAKINYO na bondia KUVESA kutoka Congo.

Katika mapambano ya Utangulizi ndipo litatokea pambano kati ya Mbuge wa Geita mwenye pHD yake ya heshima Dokta Musukuma akitarajia Kuzichapa na Waziri wa Nishati na Umeme Prof January Makamba

Akizungumzia kuhusu pambano hilo Promota ambae pia ni Mbunge mwanamana SOPHIA MWAKAGENDA Amebainisha lengo la pambano ilo ni kuhamasisha mchango wa pesa zitakazosaidia kununua Taulo za kike,kwa wanafunzi wa kike nyanda za juu kusini.

Mgeni rasmi wa pambano hilo ni Waziru Mkuu Mh. kassim Majaliwa

JE UNAHISI NANI ATASHINDA PAMBANO HILI?

NAWASILISHA
Source:EATV
Screenshot_20230328-143217_1.jpg
 
Source:EATVView attachment 2568696
Kwa uzito gani? Maana wote afya mgogoro.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi Waziri wa Nishati January Makamba atazichapa dhidi ya Mbunge Joseph Musukuma.

Akizungumza kuhusu pambano hilo Promota wa Pambano hilo ni mbunge Sophia Mwakagenda amebainisha kuwa Lengo la pambano hilo ni Kuchangisha pesa za kusaidia kununua taulo za kike, kwa Wanafunzi wanawake wa nyanda za juu Kusini.

Pambano hilo kubwa litapigwa April 4, 2023 jijini katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
makamba atapigana huku amevaa miwani?
 
Back
Top Bottom