Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu dogo wa timu ya taifa ya Argentina na club ya Ureno Benfica Gianluca Pristianni alimuita Vini Jr Mshambualiaji wa Real Madrid nyani na kumzibia pua wakati yeye mwenyewe sura yake anafanana na...
2 Reactions
14 Replies
357 Views
Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa. Wa kutuokoa ni Mola tu
2 Reactions
25 Replies
774 Views
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa...
2 Reactions
6 Replies
644 Views
Rekodi ya 6–0 ya mwaka 1977 ni moja ya matukio makubwa na yenye kumbukumbu ya kudumu katika historia ya soka nchini Tanzania, hasa katika upinzani wa jadi kati ya klabu za Simba SC na Young...
0 Reactions
4 Replies
344 Views
Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha. Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima...
1 Reactions
21 Replies
556 Views
Aisee hii timu muda wa kunifariji yenyewe ndio inanitesa.
12 Reactions
29 Replies
593 Views
Timu namba nane kwa ubora Afrika inaogopa mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tulijua mmejifunza ya msimu uliopita kumbe bado Mnaongozwa na wendawazimu ndo maama visababu vya nje ya uwanja...
3 Reactions
10 Replies
322 Views
  • Closed
Hivi mnataka GENTAMYCINE niwasaidieni vipi nyie Viongozi wa Simba SC? Kwanini mnanikera hivi kila tunapokaribia kucheza na Yanga SC? Nani aliyewaambieni kuwa Simba na Yanga wakielekea Kucheza...
2 Reactions
7 Replies
537 Views
Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso". Hivi...
5 Reactions
10 Replies
350 Views
Mtanange ukiwa unaendelea, mzani ushaanza Kuwaelemea Wenyeji. Mnyama yuko mbele kwa bao 2... Kipute kinaelekea halftime
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Unaweza kudhani ni jambo la kawaida, lakini huu ni Mkakati Maalum. Timu hizi ni za Tanganyika n.a. washabiki n.a. wanachama wake kwa % kubwa ni Watanganyika, kupeleka Timu hizi Zanzibar ni...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari Wana Sports, Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu. Imagine Victor yupo pale...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya...
7 Reactions
30 Replies
791 Views
Ligi kubwa duniani kama English Premier League (EPL) na LaLiga hazijawahi kuogopa sekta ya betting wala kuweka wazi kuwa Shirikisho la soka la FA litatafuta kampuni moja pekee kwa ajili ya michezo...
0 Reactions
7 Replies
530 Views
The Zimbabwean Chevrons remain unbeaten in Group B at the #T20WorldCup, showcasing grit, skill, and determination in every match. Fans are celebrating as the team continues its march toward the...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya. Nashukuru serikali...
8 Reactions
26 Replies
813 Views
Hapo vip! Ipo hivi Simba ndio mzaliwa wa kwanza wa soka au mpira wa football hapa Tanzania,Afrika mashariki na kati. Simba ndio timu peke iliyopo na ambaya imefika na kufauluvkuingia kwenye top...
5 Reactions
14 Replies
389 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…