Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best...
2 Reactions
1 Replies
196 Views
Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
8 Reactions
19 Replies
656 Views
Sidhani kama ili nalo linahitaji kubet, ila Nigeria na Tunisia wataingia round ya mtoano. Hao wengine wote mwaka mpya wanakula wakiwa kwao.
3 Reactions
8 Replies
325 Views
Bado sijaelewa watu hawa wanataka nini Kwani Gamond Au Msuva wamekosa nini?
5 Reactions
20 Replies
638 Views
Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda...
5 Reactions
12 Replies
612 Views
Kufungwa kwao jana kuliniuma sana,lakini ndio hivyo asiyekubali kushindwa sio mpinzani.Na ni dhahiri bingwa ni simba au jkt
0 Reactions
0 Replies
202 Views
πŸ”₯πŸ”₯ℍ𝕆𝕋 π”Όπ•β„‚π•ƒπ•Œπ•Šπ•€π•π”Ό πŸ”₯πŸ”₯ NTYUKA DRAFT CLUB Present to you THE NATIONAL HEAVYWEIGHT END OF THE YEAR CHAMPIONSHIP CLASH (Tunafunga mwaka kwa mpambano wa kiwango cha Kitaifa) TIMU: DOGO...
2 Reactions
11 Replies
363 Views
Kila alichomjaalia Mola kakitoa kwa nchi yake.Hatumdai kitu,japo hatujawahi kuwa mabingwa wa Afrika.Asante sana Samata,sasa pumzika ni muda wa vijana
2 Reactions
2 Replies
162 Views
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe. Matokeo bado ni 0-0. Vijana wetu...
4 Reactions
52 Replies
990 Views
Ila waTanzania hua tunapenda kudanganywa na kusifia ujinga ujinga. Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi. Lakini ukweli...
3 Reactions
13 Replies
588 Views
Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania β€œTaifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi...
3 Reactions
3 Replies
565 Views
Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
9 Reactions
18 Replies
525 Views
Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi...
3 Reactions
20 Replies
790 Views
Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
0 Reactions
8 Replies
913 Views
Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan. Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili. cc Abduli, Mafwele na Muliro.
12 Reactions
19 Replies
750 Views
Ni maajabu sana! sijui hata Imekuwaje, bila huyu mtu stars ingekufa nyingi mno juzi Ni bahati mbaya kwamba Nchi imegawanyika vibaya sana kiasi kwamba wananchi wanataka Timu yetu ipigwe tu...
6 Reactions
16 Replies
413 Views
Huyo kwenye picha ni Emmanuel Mbele aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Sunderland na baadaye kuitwa klabu ya Simba kwenye miaka 1960s hadi 1970s. Huyu bwana mkubwa aliwahi kumpiga mwamuzi mwaka 1968...
2 Reactions
10 Replies
920 Views
Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa...
2 Reactions
9 Replies
399 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…