Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani. Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu...
4 Reactions
27 Replies
386 Views
Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili: 1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe...
9 Reactions
68 Replies
1K Views
Wakuu simba sc anamfunga mtani wake leo, sina maneno mengi 1-2 ft
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Ifike mahali wazalendo wa Simba tuungane na genius wa boli Murtaza Mangungu kumdhibiti huyu muhuni, tapeli na mwizi Magori anayekula pesa za benki na kutuletea magarasa. Huyu Doumbia yeye ndiyo...
2 Reactions
4 Replies
101 Views
Viongozi wa Simba ni madadali takataka kabisaa, mo atupishe na takataka zake kina mangungu wale ni wahuni tu pale simba
5 Reactions
22 Replies
295 Views
Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto)...
5 Reactions
30 Replies
482 Views
  • Redirect
Msibishi kila tatizo la simba ni Mangungu๐Ÿ‘‡
1 Reactions
Replies
Views
Paris Saint-Germain (PSG) na Aston Villa zinakutana katika fainali ya UEFA Super Cup 2026, mchezo unaowakutanisha mabingwa wa mashindano mawili makubwa ya Ulaya. PSG wamefuzu kucheza mchezo huu...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
  • Redirect
Simba timu yangu ni taka taka mbele ya yanga, kutokana na uongozi wa kijnga , achieni ngazi nyie kina mo na kina mangungu , simba inauzika kimataifa kwa watu wenye akili timamu ya mpira
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Pesa iko bank
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hii kiazi imesajiliwa na watu wajinga kupita maelezo , siku simba mkiwa na uwezo wa kushindana na yanga naomba mnishtue๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
8 Reactions
Replies
Views
Kinachofanyika ni sawa na kuwanyima burudani wenye timu zao wanaoishi Tanganyika Lakini ni nani hasa anayehamisha Mechi za Timu za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar, Amelenga nini? Je wenye Timu...
18 Reactions
47 Replies
876 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, ametoa kauli yake baada ya mchezaji Selemani Mwalimu kutangazwa Yanga, akieleza kuwa jambo hilo halina uzito wowote wa kuilaza au...
5 Reactions
87 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo...
1 Reactions
6 Replies
118 Views
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na...
11 Reactions
176 Replies
3K Views
Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?
3 Reactions
4 Replies
157 Views
Sina mashaka kabisa na ninachokisema.Huyu aliyempa maelekezo msemaji wa Simba anapaswa kuondoka pale Simba mara moja. Inaonekana ni mpango wa kuidhalilisha timu uliopangwa na upande wa pili na...
5 Reactions
17 Replies
349 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ