GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,916
Nakaaga najiuliza why huyu jamaa anakuwaga na ahadi nying za mdomoni kwa wanasimba anawaonaje?mara ntafanya hiki,ntajenga kile,itakuwa hivi ni kwanini? Alipiga picha na Juventus kwamba wameingia makubaliano na Simba,mara Gerard Pique,mara uwanja mara blahblha anawaonaje huyu?
Tafuta zakoNakaaga najiuliza why huyu jamaa anakuwaga na ahadi nying za mdomoni kwa wanasimba anawaonaje?mara ntafanya hiki,ntajenga kile,itakuwa hivi ni kwanini? Alipiga picha na Juventus kwamba wameingia makubaliano na Simba,mara Gerard Pique,mara uwanja mara blahblha anawaonaje huyu?
JF Uhuru umezidi Sana Tafuta zako Mkuu Acha makasiriko
Huyu ni mfanya biashara.
But analipa moshahara ya mamilioni na kutumia mabilion kusajili na gharama nyingine hili hulisemei mbona,na mind you hana hisa wala umiliki wa aina yoyote ni mdhamini kama wengine tu(tena sio mdhamini mkuu)Huyu ni mfanya biashara.
Na ni kweli ana mapenz na Simba.
Na anataka Simba iwe klabu kubwa na iwe na hadhi na brand.
Kuwa tajiri sio kutoa bure Mabillion ya hela kila mwaka. Lazima kuwe na system.
Amedhamini na anadhamini.
Ila anataka awe mwekezaji.
Kudhamini ni Hisani.
Uwekezaji ni biashara.
Gsm mwenyewe anakula hela za mauzo ya jezi toka 2019.
Jezi hata iuzwe kias gani. GSM anawapa Yanga 1,300 tu alaf Nyingne ni za GSM.
Bado mwenyekiti ni Pandikizi la GSM.
bado uwanja utakaonjengwa Yanga wataukodisha kwa miaka 100 .
Achana na mo dewji FANYA MAMBO MENGINE
But analipa moshahara ya mamilioni na kutumia mabilion kusajili na gharama nyingine hili hulisemei mbona,na mind you hana hisa wala umiliki wa aina yoyote ni mdhamini kama wengine tu(tena sio mdhamini mkuu)
Umecomment nje ya mada kabisa,swali langu lilikuwa simple mbona husemi GSM analipa mishahara na gharama zote unaaminisha umma kwamba anainyonya yanga kwa mauzo ya jezi? Unaleta unrelated story.Mfumo wa Yanga na Simba ni tofaut Simba tyr transformation inafanyika thus why kuna pande mbili za muwekezaji na mashabiki,but yanga bado ni ileile kuna mdhamini tu ambayeBora Simba kuna mtu anasimia Mashabiki.
Mangungu hana Hela. Na amechaguliwa na WanaSimba.
Na ndio maana unaona watu wanahoji.
Kwasababu kuna pande mbili.
Ila Eng Hersi ni GSM. Na pia mmemchagua Yanga.
Hiki ni kivuli cha GSM. Kwakuwa Hela iko mnaona sawa. Na hakuna mtu anaweza kuhoji.
Maana Pande zote za Shilingi wamehodhi.
Hata Mo angehodhi pande zote isingetokea maneno mengi.
Sasa tujikumbushe. Je, Vipi kuhusu Mzee Magoma?.
Alilipa ile fidia ya 60 Mill?.
Kwanini yuko Kimya?.
Yanga Halisi imekufa?..
Mchakato wao utamalizika lini?.
Unafikiri utakuwa tofauti kwasababu ya katiba ya Yanga?.
Fikiria
Hagusi mali za club wala hajinufaishi nazo
Haingilii maamuzi ya wanachama
Faida yake yeye ni kujitangaza tu na biashara zake ila hana umiliki regardless ya gharama anazotumia
Nina maanisha Huu mfumo wa Katiba ya 51 kwa 49 ni kwa wote Simba na Yanga.Mfumo wa Yanga na Simba ni tofaut Simba tyr transformation inafanyika
Pesa zipo BANK.Mo ni tajiri wa mtandaoni, wa insta kama wasanii kina mondi