FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,143
Reaction score
17,530
Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar.

Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda ambaye ni ingizo jipya katika dirisha kubwa la usajili

================
Nani kuanza msimu na Kombe?

Ile mechi ya kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu, Ngao ya Jamii inachezwa leo katika dimba la New Amaan, Zanzibar.

Yanga SC 🆚 Simba SC

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:30 usiku.

Vitu muhimu vya kufahamu kuelekea mechi hii;
  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii 2026 utahusisha matumizi ya “Video ya Usaidizi” itakayompa mwamuzi wa mchezo marejeo ya picha mbalimbali juu ya tukio litakalohitaji usaidizi huo.

1786516125669.png
  • Mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga kutoka Manyara, amepewa jukumu la kuongoza mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC.
1786516344968.png
 
Yanga 4-1 Simba asanteni akina mangungu,try again, Hassanou na mkwabi kwa kufanikisha ushindi wa Yanga.
 
Back
Top Bottom